Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Naangaliaga vijana wanaosema kataa ndoa.

Unajua ndoa nipana sana unaweza Ukawa unahis hujaoa kwasb tu hujaenda kanisan Wala msikitini

Ila kiukweli ulishaoa bila kujua Kwa kutokujua kwako tafsiri ya ndoa.

Ngoja Niko naandaa Uzi wa ndoa uliojaa nyama zote ukikamilika niumwage jukwaani Ili tujue nani kaoa na Nan hajaoa hadi Sasa.
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia😌nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu👏

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini👏

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika😊
Hii falsafa mkuu 😊 kama inaiingia vilee 🤨🤨
 
Sitoweza msahau baba watoto wangu kwa sababu alinitoa sehemu ambapo hata ndugu zangu wa karibu hawakujua hali niliyokuwa ninapitia[emoji18]nilikuwa napitia hali hatarishi na isiyokuwa na mwelekeo wala mwanga.

Hapa nilipo ni kwa sababu yake,mafanikio ninayoyapata japo kidogo mzizi ni yeye kuletwa na Mungu ili anivushe katika mapito.

Anafamilia yake na watoto wengine na upendo uliopo kati yangu,mkewe na Yeye ni ule upendo wa kiMungu[emoji122]

Niliahidi sitokuja fanya mchezo wa kipumbavu wa kutoka nae kimapenzi tena.

Kila ninapowaombea vijana wangu pamoja na wazazi wangu basi babawatoto,mkewe na watoto wao lazima wawepo maombini[emoji122]

Sio kila Ex ni m’baya au ni lazima mkutane kimwili.Kuna maEx hupanda mbegu njema yenye kumea kila kukicha katika maisha ya mhusika[emoji4]

[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Hawajakusahau kama ambavyo wewe haujawasahau ndio maana unawatafuta ili uwakule.

Be honest, kwani wewe umewasahau?

Ninyi ni wale wale hata sielewi haki ya kuwasimanga maex zako unatoa wapi.
 
Naangaliaga vijana wanaosema kataa ndoa.

Unajua ndoa nipana sana unaweza Ukawa unahis hujaoa kwasb tu hujaenda kanisan Wala msikitini

Ila kiukweli ulishaoa bila kujua Kwa kutokujua kwako tafsiri ya ndoa.

Ngoja Niko naandaa Uzi wa ndoa uliojaa nyama zote ukikamilika niumwage jukwaani Ili tujue nani kaoa na Nan hajaoa hadi Sasa.
nitagi nipigilie misumari ya moto
 
Naangaliaga vijana wanaosema kataa ndoa.

Unajua ndoa nipana sana unaweza Ukawa unahis hujaoa kwasb tu hujaenda kanisan Wala msikitini

Ila kiukweli ulishaoa bila kujua Kwa kutokujua kwako tafsiri ya ndoa.

Ngoja Niko naandaa Uzi wa ndoa uliojaa nyama zote ukikamilika niumwage jukwaani Ili tujue nani kaoa na Nan hajaoa hadi Sasa.
🤔🤔, Tupe introduction kidogo mkuu
 
Hata wakwako uliye au utakaye muoa atakuwa hivyo hivyo, ila kusahau kupo sasa kama mtu alikuacha akaoa mwingine namrudia vipi labda niwe mbulula

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
. Mkuu, vya kale vitamu sana, kuna Ex tuligombana kitambo kidogo, ila juzi kati hapo akanipa tena. ( but ni mke wa mtu)
. Ex ana nguvu sana, hasa pale anapo kukumbusha Mapigo ya kipindi hicho 😀.
 
Back
Top Bottom