Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Bila shaka alikutoa kwenye maisha magumu.

KIBUNDA AS USUAL (NGUVU YA PESA)

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ni kweli..alinitoa kwenye magumu na kunipa mwanga yule kijana wa watu maskini..Mungu azidi kumfungulia milango ya Baraka na kila analogusa likafanikiwe asione njaa maishani mwake mwote
 
Tatizo ni kwamba umecoment kwa kukurupuka mkuu.soma comment vizuri,tafakari ndipo utoe mchango✌🤘
We utaona ushabiki wa ubaya ila ni ngumu sana tulio achana nao tuwaombee mema mbali na kujutia sana kwa mda uliopeteza na nasaba mlizotengeneza.

Ndyo mana nasema huna baya alitengeneza familia nzur ya maombi.
 
🙏🙏🙏, safi sana mkuu, wanawake wengine huwa hawakumbuki kabisa,
Asante mkuu..
Baada ya kuachana nilikazaga fuvu na upumbavu +chuki zilitawala nikawa mbinafsi nikiongozwa na hisia za mapenzi zisizo na maana nikasahau fadhila na mchango mkubwa sana katika maisha yangu.

Ninamuombea sana yule binadamu kuliko kawaida
 
We utaona ushabiki wa ubaya ila ni ngumu sana tulio achana nao tuwaombee mema mbali na kujutia sana kwa mda uliopeteza na nasaba mlizotengeneza.

Ndyo mana nasema huna baya alitengeneza familia nzur ya maombi.
Ni kwakuwa tunakuwa wabinafsi.

Ninaimani kwenye mahusiano kuna mazuri na mabaya hutokea na ninauhakika ukitafakari mazuri basi kuna asilimia kadhaa ya chuki na ubinafsi itapungua
 
Back
Top Bottom