Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Naangaliaga vijana wanaosema kataa ndoa.

Unajua ndoa nipana sana unaweza Ukawa unahis hujaoa kwasb tu hujaenda kanisan Wala msikitini

Ila kiukweli ulishaoa bila kujua Kwa kutokujua kwako tafsiri ya ndoa.

Ngoja Niko naandaa Uzi wa ndoa uliojaa nyama zote ukikamilika niumwage jukwaani Ili tujue nani kaoa na Nan hajaoa hadi Sasa.
 
Hii falsafa mkuu 😊 kama inaiingia vilee 🀨🀨
 

[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Hawajakusahau kama ambavyo wewe haujawasahau ndio maana unawatafuta ili uwakule.

Be honest, kwani wewe umewasahau?

Ninyi ni wale wale hata sielewi haki ya kuwasimanga maex zako unatoa wapi.
 
nitagi nipigilie misumari ya moto
 
πŸ€”πŸ€”, Tupe introduction kidogo mkuu
 
Hata wakwako uliye au utakaye muoa atakuwa hivyo hivyo, ila kusahau kupo sasa kama mtu alikuacha akaoa mwingine namrudia vipi labda niwe mbulula

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
. Mkuu, vya kale vitamu sana, kuna Ex tuligombana kitambo kidogo, ila juzi kati hapo akanipa tena. ( but ni mke wa mtu)
. Ex ana nguvu sana, hasa pale anapo kukumbusha Mapigo ya kipindi hicho πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…