Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Hapana mkuu siyo makahaba, kuachana na ex ni ngumu sana, Kati ya ma Ex 10, ni mmoja tu ndo mnaweza kuachana milele.
Mmhmmh siwezi kukubishia mkuu mana dunia ina mengi nisiyoyajua ila kweli niwe nimeolewa ndoa yangu takatifu naanzaje kumvulia nguo mwanaume asiye mume wangu kama mimi sio kahaba tena asiye na akili?
 
Huwa wasema hivi kwenye nyuzi za design hii...nakupa hongera kubwa na kuwa muelewa pia...Chako WA Rii
 
Mmhmmh siwezi kukubishia mkuu mana dunia ina mengi nisiyoyajua ila kweli niwe nimeolewa ndoa yangu takatifu naanzaje kumvulia nguo mwanaume asiye mume wangu kama mimi sio kahaba tena asiye na akili?
Ni kweli mkuu, kama umeweza kuepuka hichi kikombe, Hongera Sana 🙏🙏
 
Kauli yangu ni moja tu, Kula Tunda Mara Moja Waachie Wezio 😎😎.📌
 
FYI tuna 8 yrs tangu tumeachana na bado ninaujasiri wa kuendelea kumheshimu.
Hajawahi kuleta usumbufu mkuu.
Siku 365 mara 8 sawasawa na siku ngapi?
Ni siku tele kwa kweli, karibia aftatu.
Ila poa tu..
Kwa maelezo yako unamheshimu na yy pia anakuheshimu sana.
Ila wewe ni mwanamke hijui akili za wanaume zilivyo.
Atakuwa anakuchukulia wewe kama mke wake wa akiba. Siku akikuibukia hutaamini, atakukula saaana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…