Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute kichwani simba anawaangalia watoto wake na kujisemea siku moja nitawaacha hawa wanangu itabidi niwafundishe mbinu za maisha.
 
Tambua kwamba nature inawasiliana nakila kiumbe kwanamna yake ila binadamu ndio mtawala na mmiliki wa vyote..hii uwe unajua au hujui iko hivyo.
 
Hapana, niliona story reddit. Mungu, Binadamu na malaika ndio wenye roho pekee
 
Back
Top Bottom