Je wanyama na mimea wana roho (do animal and plants have soul)

brain is the best computer in the world but you need to see true living human brains working instead of illustrations..


Equating mind and brain is irrational, is like listening to music on a radio, smashing the radio's receiver, and thereby concluding that the radio was producing the music.
 
Kuna mahali fulani katika maandokp nafikiri no Mhubiri anahoji akaisema nani ajuae kwamba roho ua mwanadamu huenda juu na roho ya mnyama hushuka chini?

So roho na wanyama wanazo ila mimea...wachaje saidi wengine
 
Kutaka majibu mepesi kwa maswali magumu, ujinga, kutaka kukandamiza wengine kwa hadithi za maisha baada ya kifo, kutokubali kuwa hatujui tusichokijua.

Sasa Mkuu ni misingi gani iliyotumika kusema kwamba haya madai kuwepo roho si ya kweli?maana kuna hali mbili za kukataa vitu,kuna mambo ambayo hayawezekani(yani hakuna uwezokano kutokea/kuwepo hilo jambo) na kuna kuwezekana kutokea/kuwepo hilo jambo, lakini taarifa zikawa si za kweli kwa kipindi hicho.

Sasa sijajua haya madai ya kuwepo roho yamewekwa kundi gani.
 

Kwa nini kuna hali mbili za kukataa kitu?

Kwa nini mbili tu?

Ni mbili tu au hizo ndizo unazozijua wewe tu?
 
so may you define soul in relation to brain.!!


May be you need to know what is the "soul".

The soul is the immaterial part of a
person from which flow the actions, thoughts, desires, reasoning, etc. It is separate from the physical body. It is the part of the person that makes a person what he is, alive, aware, able, etc. It is the essence of personhood. Biblical theology teaches that the soul is separate from the body and can exist independently of it (2 Corinthians 5:8).
 

Haya ndio matatizo ya kukopi na kupaste yaan unaweza ukadhani umekopi kumbe imegoma kama hivi.Jitahidi kutumia kichwa ndugu
 

Wewe ulikuwa sahihi ila tatizo lako hukuweza kusema ni kwa namna gani ulikuwa sahihi

Tuko pamoja .....!!
 
Haya ndio matatizo ya kukopi na kupaste yaan unaweza ukadhani umekopi kumbe imegoma kama hivi.Jitahidi kutumia kichwa ndugu
All you can do is to refute. But you can not because you are a blind jibrilic slave. What is the soul? Let me guess, your deity did not address that.
 
Haya ndio matatizo ya kukopi na kupaste yaan unaweza ukadhani umekopi kumbe imegoma kama hivi.Jitahidi kutumia kichwa ndugu

sasa ungekuwa binadam kamili na busara japo kidogo,ungeweka link ya sehemu alikocopy na kutuonyesha...
vinginevyo lilia ndani ya shuka lako au mshitaki kwa Kiranga akusaidie tauro la ignore list.
 
Last edited by a moderator:
please, can you give me one verified definition of a soul in terms of brain. By that I mean something that could not possibly be explained by any possible or probable religion means..

Soul has nothing to do with the brain. Soul/spirit can exist on its own. That is why I said, soul is the immaterial part of a person. To be more precise, you are not the body, you are the invisible person/spirit living in the body.

NOW ANSWER ME:

If the brain produces consciousness, can you explain to me, how does the brain produces consciousness?
 
sasa ungekuwa binadam kamili na busara japo kidogo,ungeweka link ya sehemu alikocopy na kutuonyesha...
vinginevyo lilia ndani ya shuka lako au mshitaki kwa Kiranga akusaidie tauro la ignore list.

Tatizo hakumalizia hata alichokuwa anakopi na kupaste.Sina haja ya kutumia Ignore list nikikuona huna busara nakupita tu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hakumalizia hata alichokuwa anakopi na kupaste.Sina haja ya kutumia Ignore list nikikuona huna busara nakupita tu.

That's not a recap. That's just another non theist clown griping.
 

I think everything has a spirit (especially when you involve the fact that we "spirit" drive the body) it's just like a plant driving its growth from a seed to a big tree ..hata kwenye our native religions people have been talking through a medium for centuries..kwenye tamaduni zilizoendelea mapema (Greeks,Egyptians) they used to have gods of earth,fire,crops e.t.c...But I think swali lako linaelekea zaidi kwenye ishu nyingine ya kwamba...kama kila kitu kina roho,what makes us diferent from plants and animals?...the answer is "utashi"..we can reason,they can't..a wild tree or animal will always be wild..humans always evolve.
 
Nadhani hapa mtakua mnachanganya vitu viwili tofauti, kati ya roho na nafsi ndomana hamjaelewana hapa
 
Tuanze na hizo mbili.

Utajuaje kwamba kitu hakiwezekani?

Kuna vitu ambavyo haviwezekani..mfano ngamia kupita kwenye tundu la sindano,ukiangalia tundu la sindano lilivyo dogo ni wazi kuwa hakuna uwezekano wa mwili wa ngamia kupita.
Kwahiyo anapotokea mtu na kusema ngamia anaweza kupita kwenye tundu la sindano nitapinga kwa sababu hiyo niliyoitaja labda iwe kwa miujiza.
 

Umerukia kusema haiwezekani ngamia kupita kwenye tundu la sindano bila hata ya kutueleza ngamia ana ukubwa gani na tundu la sindano lina ukubwa gani.

Vipi kama tundu la sindano ni kubwa kupita ngamia?

Hili litakuwa haliwezekani bado?

Ukubwa wa tundu la sindano unaanzia wapi na kuishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…