UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Habari nzima ya roho kuwapo ni mapokeo ya kale tu yasiyo na uthibitisho kwamba ni kweli.
Right up there with mermaids and the Loch Ness monster.
Kwahiyo ni kipi sasa kilichofanya hadi watu wakafikiria kuwa kuna roho?