Je, wapinzani ni wakombozi?

Je, wapinzani ni wakombozi?

Is this where JF is going? Naanza kupatwa na hofu

Mpita Njia, nadhani kuna kila sababu za makusudi hatua kuchukuliwa kuepuka mambo yasiyo na "mashiko" humu JF. Mambo ya wanasiasa yote yalikwisha kujadiliwa humu JF hakuna aliyeachwa awe wa upinzani ama CCM ama hata wasio na vyama. Sasa kujaza nafasi katika mtandao muhimu kwa data kama huu na kupoteza muda na akili za watu kujadili mambo yasiyo na 'ujazo' ni UFISADI mwingine mbaya zaidi kuliko hata wa 'vijisenti'
 
Is this where JF is going, naanza kupatwa na hofu

Mkuu MN,

huna haja ya kuhofu kitu.Mtu mwenyewe aliyepost thread hii anatafuta umaarufu tu hapa.Ndo sababu imebidi aanze na kitu ambacho anajua kiko opposite to every right thinking mind ana ili kuthibitisha hilo anaomba msaada wa kina Kada,Masatu na wengine ambao though ni CCM-damu huwa wanamake sense at times...tumkaribishe tu huyo
 
c'moooon guys, we dont need this, hii si simba na yanga jf haina chama, mtu au kitu chochote kinajadiliwa regardless, lets grow up kidogo au mtazidi kukipaka mavi chama chenu.
 
vyama vya upinzani wanasema kuwa ccm ni mafisadi lakini wao ndio mafisadi na viongozi wao. Hakuna wizi wala ufisadi uliofanywa na ccm bali ni mambo tu ya majungu ya chadema hapa jf.

Sasa tutakutana hapa na wana ccm kwa namba kubwa hapa kuanzia wakuu hapa kina kada, sam, zemarcopolo, mtarajiwa, mtu wa pwani, kubwajinga na wengine wengi hapa tumekuja kuigeuza jf kurudi kwa ccm. Hakuna nafasi tena ya udaku na habari zenu za wivu na chuki dhidi ya ccm.

tutaanza na viongozi wenu mafisadi kwa kuanzia na fisadi namba moja mbowe na kisha kuja kwa yule mdini lipumba na seif sharif. Hawa kina zitto na Slaa nao mambo yao yanatengenezwa.

Kazi sasa imeanza.

He Tumeingiliwa!
 
He Tumeingiliwa!
Shalom,

Taratibu mkuu. Mimi bado sijaingiliwa!

BTW: Misimamo ya aina hii ipo na ndiyo maana halisi ya JAMII! Kama kuwa JF ni kuwa Upinzani then hata yeye mwanzisha mada ni mpinzani. Let's face it!
 
Mi nilidhani yapo kumbe mnayatengeneza??

Lakini hata mkiyatengeneza kwa vile ni yakutengenezwa si ya kweli, siku zote uongo hujitenga, na utamdaganya mtu kwa wakati fulani lakini huwezi kumdanganya muda wote!

Mwisho wa uongo wa CCM kuudanganya umma wa watanzania umefika! Kaeni na kubalini kukinywea kikombe chenu!
 
hawa akina masaka siju na rafiki yake wamechanganyikiwa. Hivi wanapingana hata na boss wao ccm ambaye alikiri wakati wa uchaguzi kwamba ndani ya ccm kumejaa ufisadi kiasi cha kuamuru takukulu kuingilia kati? hivi hawa wao wako nchi gani na wanaweza kutudanganya vipi kwa thread zao uchwara hizi?
 
Shalom,

Taratibu mkuu. Mimi bado sijaingiliwa!

BTW: Misimamo ya aina hii ipo na ndiyo maana halisi ya JAMII! Kama kuwa JF ni kuwa Upinzani then hata yeye mwanzisha mada ni mpinzani. Let's face it!

duh ! heheheeeeeeee..ilibidi nicheke hapo !
 
Swali la msingi ni kuwa wanaotoka CCM waingie upinzani, je wapinzani ndio watakaotuokoa?
 
Swali la msingi ni kuwa wanaotoka CCM waingie upinzani, je wapinzani ndio watakaotuokoa?

Watakao tuokoa Tanzania ni sisi Watanzania siku tutakapoamka na kuchagua viongozi wachapa kazi bila kujali chama na kuwatupa wale wabovu bila kujali chama.

Kuna dhana kuwa Wapinzani ni safi na ndio bora. La hasha, kama Wapinzani wangekuwa safi na bora, wasingekuwa na mikingamo ndani mwao, kugombania madaraka na hata pesa. Wangeweka maslahi ya Taifa mbele na ya kwao na vyama kuwa nyuma.

Tanzania sasa hivi inahitaji watu mahiri, wachapa kazi wenye Utaifa na Uzalendo na si ufanano wa Chama cha Kisiasa.

Hilo ndilo jibu pekee kwa Tanzania. Ni nadharia njema na inawezekana kama tutaweza kumpima mtu kutokana na matendo yake kwanza kabla ya kuhoji anatokea chama gani.

Tutakapokuwa na uwezo ndani ya vyama na kama Taifa kuchagua au kuteua wachapakazi kama wawakilishi, amini usiamini hata hivyo vyama vitabadilisha sura na kuwanza kuwajibika na kuwa adilifu kwa manufaa ya Taifa.
 
naam kumbe hata wapinzani wanaojitia umakini na kuwatusi wenzao, wao mpaka viatu vimevuliwa nakuweka juu yakiti na kuchapa usingizi

upinzanikulala.jpg
Mbunge wa Chake Chake, Bibi Fatma Maghimbi (CUF) akifuatilia hoja za wabunge mbalimbali waliokuwa wakichangia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2008/09 mjini Dodoma juzi usiku. Bajeti hiyo inatarajiwa kupitishwa leo. (Picha na Emmanuel Kwitema)
 
Duh!! ebana eeehh...hii kali sasa....yaani hadi miguu kaiweka kwenye viti.....bwahahahahahaaaa.....lakini labda alikuwa amechoka baada ya kazi ngumu ya kupambana na mafisadi
 
PROPAGANDA MACHINE!
KILA KITU KILIKUWA WAZI MWACHE MAMA WA WATU ALIVYO.
KILA MTU ALKUWA AKIJUWA ccm WATAIPITISHA BAJETI HIYO YA KIFISADI!
NA WAPINZANI WAO TAYARI WALIKUWA WAKISIKILZA KAMA NYIMBO HUKU WAKISUBIRI KUPIGA KURA WALIYOKUBALIANA YA KU ABSTAIN!
SASA MBONA HUKUMTAJA CHEYO ALIYEPIGA KURA MOJA NA MAFISADI!
WANA JF KUWENI MAKINI KUNA THREAD NYINGI ZA PROPAGANDA HAPA NDANI!
PROPAGANDA MACHINE ON ITS WORK.
 
Lakini mama wa watu hana kosa ki hivyo provided walijua kuwa bajeti hiyo itapitishwa na ccm taka wasitake.
Na wakati huo huo namuomba mama apumzike na kuaachia wengine huko jimboni mwake kwani ni kweli kuna kijitabia cha wabunge kuuchapa usingizi.
Na mama wa watu kaweka na miguu juu kabisa!

Ila hii kusema upinzani wanalala...Then labda NI KWELI?!
 
jamani sasa wananchi tunatukanwa live..!!! Mjengo ule tumeugharamia ili hawa waji.....ga waende kupumzika/kustarehe..!! embu muangalie huyo mama jamani.hii ni dhihaka live.!!
 
Back
Top Bottom