Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Je, Warumi alijua kwamba atakufa?

Binafsi namchukulia warumi Kama shujaa kwasababu nimejiuliza maswali yafuatayo.

Ugonjwa wake wa Figo sio kitu kilichokuja ghafla Kama ajali ya bodaboda ulianza polepole hatua kwa hatua mpaka ulipochukua maisha yake.

Kama ndivyo Basi alivumilia Sana mateso hasa ya kujua kwamba atakufa hatapona lakini pamoja ya mateso yote hayo hakuacha kutuburudisha kwa mastori ya town.

Lala warumi mwendo umeumaliza.
What?????
Kafariki???
My goodness sijaingia if kama mwezi ndo nashangaa
 
daah warumi jamani leo mastory ya vanesa angependezesha page hii kwa mbwembwe na bashasha! r.I.p
 
Mwenye picha yake tafadhali, enzi za uhai wake alikua MWIBA kwa akina jux, idris na vijana wengine wa hovyo.
 
Sasa uzi mbona umekaa kiwaki sana? Labda niulize ni nini mantiki ya uzi wako?

Kuna asiejua kuwa atakufa?
Unajua kwanini watu huomboleza baada ya mtu kufa?

Kupitia nyuzi za Mshana jr tumehabarishwa ya kuwa baadhi ya watu tunaokutana nao sehemu mbalimbali ni majini au wana tabia za majini.
 
R.i.p Warumi binamu leo ndio nimejua kwamba he is no more. Nimeumia sana Mungu akuweke mahali pema
 
Back
Top Bottom