Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,973
- 6,750
Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe Magufuli a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now. Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay Devils Advocate. Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani? Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya John Pombe Magufuli. Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
CHADEMA inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge (Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama Wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi Wajumbe, muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya Taifa mbele