Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu agombee Urais?

Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu agombee Urais?

Naona unapungukiwa uelewa kwa kiwango kikubwa. Kwa kukusaidia tu kidogo:

Nchi huomba kuwa mwanachama wa MIGA. Ukikubaliwa, investors wanapata assurance toka MIGA kuwa mahali wanapoenda kuwekeza ni salama kwa mitaji yao.

Kama nchi mwanachama akafanya kinyume, na mwekezaji akapoteza mtaji wake kwa sababu ambazo zitathibitika kuwa ni za uonevu, na serikali ndiyo imehusika, MIGA inatoa fidia kwa yule mwekezaji. Lakini nchi iliyokiuka masharti ya uwanachama inaweza kufukuzwa uwanachama. Nchi ikifukuzwa, hakuna mwekezaji makini wa kimataifa atakayekuja kuwekeza nchini mwako.

MIGA ilianzishwa kwa lengo la kuzisaidia nchi hasa maskini kupata wawekezaji. Wawekezaji wengi walikuwa hawataki kuwekeza nchi hasa za Kiafrika kwa maelezo kuwa nchi hizi za kwetu hatuheshimu mikataba.

Expand you brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio ujiongeze unajua ‘political risks’ umeshawahi fuatilia historia ya uwekezaji kwenye natural resources na nini kilitokea huko nyuma during the 1950’ to 70’s hadi hii mikataba kuwekewa aspect za ‘stabilisation clause’ (nakushauri kama hujui ni kitu gani iko google).

Kukusaidia tu Stabilazation hiyo ni clause ambayo inasema ikitokea dispute mgogoro uta tatuliwa vipi na wapi based on neutral arbitration agreed by both parties and it’s ruling are legal binding which can be reinforced internationally.

Ndio maana nchi zina sign arbitration agreement usipokuwa member inakuwa kama hadithi ya ndege yetu ilivyorudi kutoka S.A kwa sababu aliyeenda kufungua kesi kule hakujua S.A sio member wa arbitration ambazo sisi tumejiunga mahakama zao hazina jurisdiction kwa mambo ya Tanzania.

Kwa maana hiyo MIGA (in disguise) ni chombo kinacho guarantee mabeberu nchi ikiingia mkataba wa ovyo wakija stuka, kuamua kuuvunja na chances wanaweza kushinda kesi wao watalipa private bank hela zao ni agent anae support wizi wa maliasili na mikataba ya ovyo Africa that is what MIGA is all about.
 
Naona unapungukiwa uelewa kwa kiwango kikubwa. Kwa kukusaidia tu kidogo:

Nchi huomba kuwa mwanachama wa MIGA. Ukikubaliwa, investors wanapata assurance toka MIGA kuwa mahali wanapoenda kuwekeza ni salama kwa mitaji yao.

Kama nchi mwanachama akafanya kinyume, na mwekezaji akapoteza mtaji wake kwa sababu ambazo zitathibitika kuwa ni za uonevu, na serikali ndiyo imehusika, MIGA inatoa fidia kwa yule mwekezaji. Lakini nchi iliyokiuka masharti ya uwanachama inaweza kufukuzwa uwanachama. Nchi ikifukuzwa, hakuna mwekezaji makini wa kimataifa atakayekuja kuwekeza nchini mwako.

MIGA ilianzishwa kwa lengo la kuzisaidia nchi hasa maskini kupata wawekezaji. Wawekezaji wengi walikuwa hawataki kuwekeza nchi hasa za Kiafrika kwa maelezo kuwa nchi hizi za kwetu hatuheshimu mikataba.

Expand you brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kumuelewesha na wengine wenye akili finyu kama zake
 
Risasi 16 alijitakia?mkuu wewe ni binadamu mwenzetu au ni mnyama?Binafsi siamini kama kuna kosa ambalo adhabu yake ni kupigwa risasi 16 .Hata hivyo nadhani watu wasiojulikana pamoja na boss wao wanajuta kufanya huo unyama. Believe me or not.
Nilikuwa na same line of reasoning kama wewe uwezi kumpiga mtu risasi kwa sababu ya hoja za kisiasa zinazopishana.

But nime pata uelewa zaidi in Tanzania many of us are gullible na baada ya kuelewa zaidi hoja za Lissu za wakati ule achilia mbali ni pumba tupu ukizingatia na nguvu aliyokuwa anatumia kupotosha umma licha ya kuonywa, he deserved what he got.

Imagine kila mtu anaamini tutaenda shitakiwa MIGA taasisi ambayo aina uhusiano wowote na maswala ya contract reinforcement chanzo cha elimu hiyo ndani ya jamii ni Lissu. Based on that conclusion he only has his own mouth to blame.
 
Mbona mnahangaika sana na Lissu??? How comes mnamuogopa Lissu kuliko hata njaa??? Kweli CCM mnalo mwaka huu.

Jibu lako juu ya kama watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea uraisi ni kuwa NDIO WATANZANIA TUNAMTAKA TUNDU LISSU NA TUNAITAKA CHADEMA KWELI NA SABABU NI

1. Chadema ni chama chenye sera sahihi zakuivusha nchi yetu kutoka kwenye lindi la umaskini na kutokuwepo kwa maendeleo ya kweli

2. Chadema ndo Chama chenye sera nzuli za kuongoza hili Taifa. Mfumo wao wa majimbo ndo mfumo sahihi wa kuhamasisha maendeleo nchini. Tumeona kwa jinsi gani maendeleo yanafanywa kwa ubaguzi hadi kupelekea wananchi kulalamikia mgawanyo wa keki ya Taifa. So Chadema ndo Chama chenye Sera Nzuri kuhusu maendeleo ya Taifa hili

3. Kutokana na mfumo wa ujamaa kuonesha kufeli kabisa Tanzania ni vizuri sasa tukawapa Chadema uongozi wa nchi hii kwa sababu Tanzania kwa sasa wanaitaji mfumo huru wa ubepari unaoruhusu watu kukua. Kufanya maendeleo bila shida kuliko huu mfumo wa ujamaa unaofanya serikali itawale kila kitu hivyo kupelekea watu kutostawi maisha yao.

4. Lissu aliye ndani ya Chadema ni mwanamapinduzi kweli wa kufanikisha hizi sera za Chadema. Ameonesha uthubutu wa kupinga na kuzikataa Sera za kijamaa na matawi yake ambazo ndo msingi wa Tanzania kuwa hapa tulipo.

5. Lissu ana exposure kubwa sana. Anajua dunia inaenda wapi na tufanyaje ili twende sawa na dunia ya kwanza inavyoenda. Tatizo kubwa lililopo CCM ni viongozi wake kutokuwa na exposure Ndo mana leo Tanzania mtu hawezi kukua kiuchumi bila kuwa upande wa serikali. Tanzania ya leo kila sshemu imejengwa vibaya bila mpangilio. Haya yote ni kwa sababu viongozi wengi wa CCM na Chama chao hawana exposure na pili hata exposure ndogo wanazopata wanashindwa kuzitumia kwa maendeleo ya kweli ya Tanzania.

Nihitimishe kwa kusema, Tanzania tunamuitaji Lissu, Tanzania tunawaitaji Chadema. Na haya yote lazima yafanyike sasa kwa maendeleo ya kweli ya Tanzania na watu wake
Unatjmia kinywaji gani mzee maana so maneno kuntu haya
 
Kugombea Urais ni haki kikatiba kwa yeyote mwenye sifa na vigezo, sio suala la mtu fulani au wananchi kumtaka.

Tukutane oktoba mlamu!
 
Habari za wakati huu;

Tundu Lissu ni mtundu
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais

Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe Magufuli a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now. Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.

Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay Devils Advocate. Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo

Swali la kujiuliza ni Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani? Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya John Pombe Magufuli. Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio

CHADEMA inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge (Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama Wabunge wa kutosha?)

Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi Wajumbe, muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya Taifa mbele
Hizi Mbuzi zingine bana, dah
 
Back
Top Bottom