Kampeni hizi hazikigawi chama zinaweka mambo in perspective tuSubiri chama Cha demokrasia na maendeleo kifanye maamuzi yake kwanza halafu ndo urudi hapa na Uzi wako wa mapambio.
Nyie ndo huwa mnasababisha makundi ndani ya chama yani hata kamati kuu haijafanya maamuzi wewe ushakimbilia huku kuwaaminisha watu kuwa mgombea Fulani ndo Bora kuliko fulani ili ikitokea kapigwa chini uanzishe kampeni za kukigawa chama katika makundi siyo?
Hii inanipa shida sana. Inaonyesha kabisa mbali na personality aliyonayo Lissu lakini kuna kitu cha ziada ambacho wengi mankiogopa na hicho ndo hasa,kinachopelekea watu kukosa utulivu kila mara mnaweka post kuelezea negativity kumhusu Lissu.Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Umeongea vizuri mwanzoni lakini unaposema CDM waoneshe ukomavu wa ccm ndio unaharibu mambo hapo. CCM hawana ukomavu wowote walioonesha katika mchakato wa kuwachagua wagombea mwaka huu; rushwa imetamalaki kila kona, mgombea urais amezuia watu wasimpe changamoto, je unataka CDM chama kitukufu kifuate uozo uliooneshwa na CCM mwaka huu? Hapana!Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Mbona mnahangaika sana na Lissu??? How comes mnamuogopa Lissu kuliko hata njaa??? Kweli CCM mnalo mwaka huu.Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani?Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Tuachieni chadema yetu mamluki nyieHabari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Saccos tangu lini iliweka masilahi ya taifa mbele! Hapo ni maslahi ya mwenye saccos tu ndio yanalindwa!Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Sera kuu ya Tundu Lissu ni kuwa serikali imehusika kumpiga risasi 16. Hana sera zaidi ya hiyo. Atawajua wajumbe katika sanduku la kura hapo 28 oct 2020.Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM.Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe,muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Wote wanaogombea nafasi za uongozi akiwemo JPM, TAL, au BM ni kwa matakwa yao wao wenyewe na siyo matakwa ya wa-Tz.Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM. Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe, muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Sinister observation. MIGA has a legal protection against the financial derivative instruments it offers to its clients. Tempering with these assets exposes someone to a law suit.Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) ni kitengo cha World Bank kinachojiusisha na kusaidia foreign investors kupata mikopo private banks wakiwa kama wadhamini against political risk. Its part of elementary investment evaluation aspect za PEST/PESTLE, kabla ya kuamua kuwekeza wao MIGA wanasaidia kuminimise losses against abrupt contract termination ikitokea wao watarudisha hela za banks walizokopesha.
Ndugu yetu Lissu alikuwa anatuambiwa tutaenda shitakiwa huko MIGA sijui kuna sheria za MIGA kumbe MIGA yenyewe aina uhusiano wowote na reinforcement za mikataba ni financial institution tu.
Aisee Lissu ana matatizo hila wenye matatizo zaidi ni waliokuwa wakiimba wimbo wake wa MIGA halafu huyu ndio wanakwambia ataweza simamia rasilimali za nchi wakati hata uelewa wa basic contract law hana.
You can see why some ppl got annoyed wakati wao wanapigana kuweka mambo sawa yeye anapotosha umma na mambo ya ovyo. Siku zote nilikuwa namuonea huruma hila risasi 16 Tundu Lissu alijatakia.
Naona unapungukiwa uelewa kwa kiwango kikubwa. Kwa kukusaidia tu kidogo:Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) ni kitengo cha World Bank kinachojiusisha na kusaidia foreign investors kupata mikopo private banks wakiwa kama wadhamini against political risk. Its part of elementary investment evaluation aspect za PEST/PESTLE, kabla ya kuamua kuwekeza wao MIGA wanasaidia kuminimise losses against abrupt contract termination ikitokea wao watarudisha hela za banks walizokopesha.
Ndugu yetu Lissu alikuwa anatuambiwa tutaenda shitakiwa huko MIGA sijui kuna sheria za MIGA kumbe MIGA yenyewe aina uhusiano wowote na reinforcement za mikataba ni financial institution tu.
Aisee Lissu ana matatizo hila wenye matatizo zaidi ni waliokuwa wakiimba wimbo wake wa MIGA halafu huyu ndio wanakwambia ataweza simamia rasilimali za nchi wakati hata uelewa wa basic contract law hana.
You can see why some ppl got annoyed wakati wao wanapigana kuweka mambo sawa yeye anapotosha umma na mambo ya ovyo. Siku zote nilikuwa namuonea huruma hila risasi 16 Tundu Lissu alijatakia.
A law suit which will involve an investor and the state facing each other at an agreed arbitration as specified in stabilisation clause of the contract.Sinister observation. MIGA has a legal protection against the financial derivative instruments it offers to its clients. Tempering with these assets exposes someone to a law suit.
Mkuu, pamoja na "blah blah" zote, bado umma wa Watanzania unatambua ktk watia nia wote wa nafasi ya uraisi wa JMT waliojitokeza na baadaye watakaojitokeza, mtu pekee ambaye ni "real asset" kwa Tanzania ya kesho ni Tundu Lissu. Wewe subiri tu jina lake lipate kuwa "endorsed" na chama chake kwa nafasi hii, uone mlipuko wa shangwe, nderemo na vifijo nchi nzima.Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu,
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa JPM a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now.Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay devils advocate.Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani?Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya JPM. Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
Chadema inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge(Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi wajumbe, muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya TAiFA mbele
Risasi 16 alijitakia?mkuu wewe ni binadamu mwenzetu au ni mnyama?Binafsi siamini kama kuna kosa ambalo adhabu yake ni kupigwa risasi 16 .Hata hivyo nadhani watu wasiojulikana pamoja na boss wao wanajuta kufanya huo unyama. Believe me or not.Multilateral Investment Guarantee Agency (MIGA) ni kitengo cha World Bank kinachojiusisha na kusaidia foreign investors kupata mikopo private banks wakiwa kama wadhamini against political risk. Its part of elementary investment evaluation aspect za PEST/PESTLE, kabla ya kuamua kuwekeza wao MIGA wanasaidia kuminimise losses against abrupt contract termination ikitokea wao watarudisha hela za banks walizokopesha.