Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Wewe ndio ujiongeze unajua ‘political risks’ umeshawahi fuatilia historia ya uwekezaji kwenye natural resources na nini kilitokea huko nyuma during the 1950’ to 70’s hadi hii mikataba kuwekewa aspect za ‘stabilisation clause’ (nakushauri kama hujui ni kitu gani iko google).Naona unapungukiwa uelewa kwa kiwango kikubwa. Kwa kukusaidia tu kidogo:
Nchi huomba kuwa mwanachama wa MIGA. Ukikubaliwa, investors wanapata assurance toka MIGA kuwa mahali wanapoenda kuwekeza ni salama kwa mitaji yao.
Kama nchi mwanachama akafanya kinyume, na mwekezaji akapoteza mtaji wake kwa sababu ambazo zitathibitika kuwa ni za uonevu, na serikali ndiyo imehusika, MIGA inatoa fidia kwa yule mwekezaji. Lakini nchi iliyokiuka masharti ya uwanachama inaweza kufukuzwa uwanachama. Nchi ikifukuzwa, hakuna mwekezaji makini wa kimataifa atakayekuja kuwekeza nchini mwako.
MIGA ilianzishwa kwa lengo la kuzisaidia nchi hasa maskini kupata wawekezaji. Wawekezaji wengi walikuwa hawataki kuwekeza nchi hasa za Kiafrika kwa maelezo kuwa nchi hizi za kwetu hatuheshimu mikataba.
Expand you brain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kumuelewesha na wengine wenye akili finyu kama zakeNaona unapungukiwa uelewa kwa kiwango kikubwa. Kwa kukusaidia tu kidogo:
Nchi huomba kuwa mwanachama wa MIGA. Ukikubaliwa, investors wanapata assurance toka MIGA kuwa mahali wanapoenda kuwekeza ni salama kwa mitaji yao.
Kama nchi mwanachama akafanya kinyume, na mwekezaji akapoteza mtaji wake kwa sababu ambazo zitathibitika kuwa ni za uonevu, na serikali ndiyo imehusika, MIGA inatoa fidia kwa yule mwekezaji. Lakini nchi iliyokiuka masharti ya uwanachama inaweza kufukuzwa uwanachama. Nchi ikifukuzwa, hakuna mwekezaji makini wa kimataifa atakayekuja kuwekeza nchini mwako.
MIGA ilianzishwa kwa lengo la kuzisaidia nchi hasa maskini kupata wawekezaji. Wawekezaji wengi walikuwa hawataki kuwekeza nchi hasa za Kiafrika kwa maelezo kuwa nchi hizi za kwetu hatuheshimu mikataba.
Expand you brain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na same line of reasoning kama wewe uwezi kumpiga mtu risasi kwa sababu ya hoja za kisiasa zinazopishana.Risasi 16 alijitakia?mkuu wewe ni binadamu mwenzetu au ni mnyama?Binafsi siamini kama kuna kosa ambalo adhabu yake ni kupigwa risasi 16 .Hata hivyo nadhani watu wasiojulikana pamoja na boss wao wanajuta kufanya huo unyama. Believe me or not.
Unatjmia kinywaji gani mzee maana so maneno kuntu hayaMbona mnahangaika sana na Lissu??? How comes mnamuogopa Lissu kuliko hata njaa??? Kweli CCM mnalo mwaka huu.
Jibu lako juu ya kama watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea uraisi ni kuwa NDIO WATANZANIA TUNAMTAKA TUNDU LISSU NA TUNAITAKA CHADEMA KWELI NA SABABU NI
1. Chadema ni chama chenye sera sahihi zakuivusha nchi yetu kutoka kwenye lindi la umaskini na kutokuwepo kwa maendeleo ya kweli
2. Chadema ndo Chama chenye sera nzuli za kuongoza hili Taifa. Mfumo wao wa majimbo ndo mfumo sahihi wa kuhamasisha maendeleo nchini. Tumeona kwa jinsi gani maendeleo yanafanywa kwa ubaguzi hadi kupelekea wananchi kulalamikia mgawanyo wa keki ya Taifa. So Chadema ndo Chama chenye Sera Nzuri kuhusu maendeleo ya Taifa hili
3. Kutokana na mfumo wa ujamaa kuonesha kufeli kabisa Tanzania ni vizuri sasa tukawapa Chadema uongozi wa nchi hii kwa sababu Tanzania kwa sasa wanaitaji mfumo huru wa ubepari unaoruhusu watu kukua. Kufanya maendeleo bila shida kuliko huu mfumo wa ujamaa unaofanya serikali itawale kila kitu hivyo kupelekea watu kutostawi maisha yao.
4. Lissu aliye ndani ya Chadema ni mwanamapinduzi kweli wa kufanikisha hizi sera za Chadema. Ameonesha uthubutu wa kupinga na kuzikataa Sera za kijamaa na matawi yake ambazo ndo msingi wa Tanzania kuwa hapa tulipo.
5. Lissu ana exposure kubwa sana. Anajua dunia inaenda wapi na tufanyaje ili twende sawa na dunia ya kwanza inavyoenda. Tatizo kubwa lililopo CCM ni viongozi wake kutokuwa na exposure Ndo mana leo Tanzania mtu hawezi kukua kiuchumi bila kuwa upande wa serikali. Tanzania ya leo kila sshemu imejengwa vibaya bila mpangilio. Haya yote ni kwa sababu viongozi wengi wa CCM na Chama chao hawana exposure na pili hata exposure ndogo wanazopata wanashindwa kuzitumia kwa maendeleo ya kweli ya Tanzania.
Nihitimishe kwa kusema, Tanzania tunamuitaji Lissu, Tanzania tunawaitaji Chadema. Na haya yote lazima yafanyike sasa kwa maendeleo ya kweli ya Tanzania na watu wake
Hizi Mbuzi zingine bana, dahHabari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe Magufuli a real challenge ila anafahamu kwamba yeye sio presidential material atleast for now. Ukisikiliza kauli zake utaona kabisa kwamba analifahamu hilo.
Tundu Lissu is not a Power Monger ni Mwanaharakati
Anafahamu hilo na ana uwezo mkubwa sana wa kuplay Devils Advocate. Kwa sasa hivi anafanya hivyo hivyo
Swali la kujiuliza ni Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu kugombea Urais kwa sababu gani? Kwa sababu yeye anataka au kwa sababu sisi tunataka?Je sisi ni wa kina nani? Tunaweza kuwa tunataka kumpa Tundu Lissu kura si kwa sababu tunaona potential kwake ila ni kama namna ya kuonesha hisia zetu dhidi ya John Pombe Magufuli. Ole wetu tukipiga kura katika misingi hio
CHADEMA inapoamua kusimamisha wagomeba ihakikishe kwamba inasimamisha mtu ambaye atakipa chama wabunge (Je Tundu Lissu ataweza kukipa chama Wabunge wa kutosha?)
Najua soon tutazijua mbichi na mbivu ila nawasihi Wajumbe, muoneshe ukomavu wa CCM na muweka maslahi ya Taifa mbele