Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Si kweli.Mimi nilikuwa nabondwa kama wanaua lakini leo sijutii kupigwa kule.Kwa akili zangu ningekuwa nunda sana.Kuna muda kipondo ni muhimu kwa watukutu.Watoto wangu wa kike wote waoga.Wakileta utukutu nikifoka tu wanabadilika.Kupiga mtu yeyote yule(hasa asie na uwezo wa kukurudishia) ni hatua ya juu kabisa ya uonevu.
Jiulize, wewe ukikosea, ni nani huwa anakupiga?
Usiishie tu kuandika blah... Blah hapa na kujizolea misifa kwa Hawa wazazi wenzio wa kisasa.Sijawahi kuwapiga watoto wangu kwa sababu nimepigwa sana na ninaona kuna wakati nilikuwa napigwa hata nikitoka kucheza mpira
Hayo walikuwa wanafanya wazazi kudhani kuwa tutakuwa na nidhamu
Ila wengi waliharibika mpaka kuwa nunda, hata mimi nina watoto wakubwa na wengine wamemaliza vyuo ila wananipa heshima ya hali ya juu na upendo juu
Sina mtoto mwizi wala muongo kwa sababu nimewafundisha kama nilivyofundishwa ila bila fimbo
Najua kuna wazazi humu wanaona kupiga ni njia rahisi ya kumnyamazisha mtoto
Jamani hata mbuzi wadogo huwa wanakimbia kimbia wakiwa wadogo
Watoto wakicheza tushukuru Mungu wana afya njema na wanahitaji michezo
Kuna mwanangu alivunja kikombe alishtuka sana nikamwambia kaa mbali na hapo na ni ajali usijali
Sasa ukute mwingine atapigwa siku nzima na hata baadae haombwi msamaha kwa hasira za kijinga
Kikombe tu unamtoa mpaka damu mtoto daa
Wanangu wanalala wakiwa na furaha na lazima nihakikishe hilo
Na wakitoka shule ni kuwapokea kwa heshima bila maswali mengi hujui wamepata nini huko shule na pia wamechoka
Nakuomba uwaelimishe sana wanaopiga badala yake kuwa karibu na kuwafundisha
Kuna familia Moja niliitembelea mwaka Jana, nilikaa pale na wenyeji wangu ambao ni baba na mama wenye mji ule mpaka mida ya usiku.Kuna tofauti ya kumlea mtoto Kwa kutomchapa na kumdekeza, sisi tunawadekeza watoto.
Hawajui kuwa lazima mipaka iwepo.Kuna familia Moja niliitembelea mwaka Jana, nilikaa pale na wenyeji wangu ambao ni baba na mama wenye mji ule mpaka mida ya usiku.
Sasa Wakati tunapiga nao story waliokuwa wameweka channel ya Katuni ambapo mtoto wao wa kike mwenye umri wa miaka 4 alikuwa Yuko bize anaangalia...
Ilivyofika mida ya taarifa ya habari nikawaambia wabadilishe channel waweke ITV, mara mama mtu akaniambia huyu atatusumbua sana nikamuuliza huyu nani?? Na atatusumbua vipi? Akaniambia mtoto wao yule tuliyekuwa nae pale sebuleni ndio atatusmbua... Kwa maelezo ya mama mtu akasema akiwaga anaangalia Katuni huwa wanamuachia tu mpaka atakaposinzia mwenyewe, wakibadilisha channel huwa analia sana na wanashindwa kumnyamazisha..
Kiukweli nilipatwa na hasara sana ila nikajikaza tu, na of course niliwadharau sana ile familia yaani mtoto wa miaka minne mnamdekeza mpaka anawatawala nyumba nzima mnaishi kwa kufuata matakwa yake.
My dear minister yaani una maanisha kwamba mtoto wangu ametemea mate chakula Cha mgeni aliyekuja kunitembelea, halafu eti Mimi nimchukue nimpeleke kwenye hizo clinics Tena kwa kulipia pesa zangu hili wabaini ni kwanini ametemea mate chakula Cha mgeni??????Kuna kliniki za watoto watundu na watukutu. Utakuja umuumize bure na sisi tuje na hii hapa 👇
Wapuuzi tu na uzungu uchwara walionao.Hawajui kuwa lazima mipaka iwepo.
Huyo Waziri si anaongea hivyo ili mshahara uingie kwenye account yake. Kwenye field mambo ni tofauti.My dear minister yaani una maanisha kwamba mtoto wangu ametemea mate chakula Cha mgeni aliyekuja kunitembelea, halafu eti Mimi nimchukue nimpeleke kwenye hizo clinics Tena kwa kulipia pesa zangu hili wabaini ni kwanini ametemea mate chakula Cha mgeni??????
Asante kwa kuendeleza mjadala ila umeanza na ukali kidogo anyway kwa mimi hainisumbui sanaUsiishie tu kuandika blah... Blah hapa na kujizolea misifa kwa Hawa wazazi wenzio wa kisasa.
Hebu elezea kinaga ubaga umeweza vipi kuwafanya watoto wako kuwa na hiyo discipline ya Hali ya kujua kiasi kwamba wanajua kwamba hili ni kosa, hivi ni sahihi bila kuchapwa hata mara moja udogoni kwao?
Au which convenient approach did you employ to instill discipline to your children such that today intelligently they have become way better than those ones who were raised under the so-called corporal punishment ??? And furthermore what disciplinary actions were you taking against them everytime they misbehaved?
Haya ndugu mwelevu naona umetoa maelezo meeengi ambayo hayajagusia hata kiini Cha mada, yaani umeandika ujinga wa kuiga ule ule kama wenzako wanaofanana na wewe kimtazamo.Kuna nchi duniani zimeondokana na adhabu ya kuwachapa watoto iwe shuleni au nyumbani. Yaani ukimchapa mtoto ni at your own peril. Na hii inatokana na studies mbalimbali kwamba kumpiga mtoto ni ku'induce' violence kwenye hisia zake ili na yeye akikua aweze kuwa 'violent'. Ndiyo maana watoto ukiwaacha pamoja utaona baadhi yao ni wapole, lakini wengine ni violent - wanapenda kuwapiga wenzao, kunyakua vitu vyao au kuziharibu bila sababu. Binafsi najiepusha sana kuwapiga watoto wangu, na ikitokea nimewapiga huwa najisikia vibaya sana na hata huwa nawaambia radhi kwa kuwapiga. Kwa kifupi, I hate beating children na nikimwona mtu anayepiga au anayeshabikia kupiga watoto namdharau sana. Kutumia nguvu kunanyesha kutumia akili kidogo na kutumia akili nyingi kunionyesha kutumia nguvu kidogo. Hivyo, mtu anaweza kujipima kuona je katika malezi ya watoto, anatumia akili au nguvu?
Nimekuelewa baba Jefferson hongera kwa kujitahidi kusimama kama baba wa kisasa, ila huoni kwamba aina hiyo ya malezi ni exclusive?Asante kwa kuendeleza mjadala ila umeanza na ukali kidogo anyway kwa mimi hainisumbui sana
Unajua kuna disciplined aina nyingi na kupiga ni last option
Kumuadhibu kwa mangumi au makofi ya nguvu au fimbo za hasira yote sio nzuri na hiyo ndio napinga kabisa kwa nguvu zote
Lazima ujue binadamu wote ni tofauti kuna wengine hawajawahi kuwapiga watoto nina maana baina ya wazazi
Unakuta anaewadhibu ni mama na baba hapigi kabisa au kinyume
Kwa mimi siwapigi wanangu bali naongea nao sana
Who wana utundu wa kitoto ambao watoto wote wanafanya lakini nikiwaambia sasa ni mda wa kulala huwa hakuna ubishi na nimejaribu kuwalaza mda huo huo kila siku mpaka wamezoea na ukiwaacha ikifika mda utaona wana sinzia
Kuna wakati natoka nao na kwenda kutembea nao hata say Lisaa limoja na nusu au mawili tukirudi wamechoka
Sioni kitu kikubwa wanachofanya mpaka niwapige kipigo kikubwa hapana
Watoto ni kuwakataza mabaya na kuwafundisha mema kila wakati
Nacheza nao na sio kwamba eti mimi niko serious kila saa hapana
Nawanunulia toys zaidi na vitabu vingi pia rangi za kuchora na hata baiskeli zao kwa kila mmoja na weekend nawapeleka farm ambapo tutakuwa na lunch huko na watacheza na jioni kurudi
Sasa niambie unampiga kwa kosa lipi au mradi nipige tu
Sio waizi, hawatoki nje bila ruhusa na huwezi kuwakuta wanazurura hovyo nje kwa sababu wana vitu vingi vya kufanya na hata kuchezea nyumbani
Mwanamke aliezalishwa na kutelekezwa yeye pamoja na kiumbe wao ni zaidi ya Damaged goods, hata gundi ya mchirizi wa dhahabu haiwezi rekebisha ni rehma za Mungu tu.Ukizungumzia kina mama hapo nakubaliana na wewe kabisa. Wengi ni wakatili hasa wale waliozalishwa bila kuolewa na kisha kuachwa wahangaike na watoto huwa wana uchungu sana wa kuachwa hasira wanamalizia kwa mtoto.
Mimi mwenyewe sikuchapwa na wazazi wangu na nilisoma shule ambayo ni marufuku kumchapa mwanafunzi, na mimi kwa nini niwachape watoto wangu, wakati kuna njia nyingi za kumlea mtoto? Naamini kuna njia nyingi za kuwalea watoto zaidi ya idadi ya watu duniani (there are as many ways to raise children as there are people in the world).Haya ndugu mwelevu naona umetoa maelezo meeengi ambayo hayajagusia hata kiini Cha mada, yaani umeandika ujinga wa kuiga ule ule kama wenzako wanaofanana na wewe kimtazamo.
Sawa hatutakiwi kuchapa watoto wetu hili tusi induce hizo violence kama unavyosema, haya ni njia ipi Bora ya kukabiliana na watoto ambao tayari ni watukutu na wasiokuwa na adabu??? Yaani hapa nazungumzia wale watoto ambao ukiwakataza kitu hawaskii kabisa wakina Brighton sijui Carleen(kama mnavyowaita), njia gani zitumike au ndio tuwapeleke kwenye hizo clinics za malezi wafundishwe adabu na specialists wa watoto kama anavyosema Mhe.Gwajima hapo????
Mazee hii story yako imenikumbusha familia ya Masubo, jamaa alikuwa ni maarufu sana pale Mwanza maana ni miongoni mwa wale Madon wa kwanza kwanza kabisa kufungua maduka ya simu pale Mwanza mjini miaka hiyo ya late 90s.Acha kabisa, mimi kuna dogo mzee wake alikuwa kaimu pale TPA miaka ya 1990s ile. Jamaa alikuwa na mawe sana yani af maza alikuwa business woman. Ogopa dogo anasoma chekechea za ada laki 6 miaka ile. Mpaka kufikia 2003 story ikaflip back. Maza alidanja late 2001 na mshua 2002 kesi ikiwa ni umeme. Kama unavyojua kilovolt za miaka ile ilikuwa ni miez 6 tu watu wanafunga hesabu.
Sahizi dogo anauza sumu ya panya mende kunguni sisimizi kiroboto. Dogo alisomaga Tugusako badae Happy skillful kabisa ila game imechange.
Hivi umenilewa lakini swali langu nililokuuliza?? au umekimbilia kunijibu tu Tena kwa maelezo yako Yale Yale ambayo nimeshakwambia hayana mantiki yoyote?Mimi mwenyewe sikuchapwa na wazazi wangu na nilisoma shule ambayo ni marufuku kumchapa mwanafunzi, na mimi kwa nini niwachape watoto wangu, wakati kuna njia nyingi za kumlea mtoto? Naamini kuna njia nyingi za kuwalea watoto zaidi ya idadi ya watu duniani (there are as many ways to raise children as there are people in the world). Njia ya viboko siyo effective, na kama ingekuwa effective, basi watoto wote waliolelewa kwa kuchapwa wangekuwa na superior bahaviour. Labda tukubaliane kwamba kila mtu anatenda kulingana na jinsi alivyolelewa. Aliyelelewa kwa mabavu/kwa viboko, naye atalea kwa mabavu/kwa viboko, kwa sababu ndivyo alivyolelewa. Na aliyelelewa kwa malezi yasiyohusisha viboko naye atalea kwa namna hiyo pia. Hii ndiyo tofauti yangu na wewe.
...and let me watching my favorite movie."Shut up Daddy"
Mpaka Sasa hivi nyie ambao pro-western culture akiwemo na Waziri mwenyewe Bado hamjanipa maelezo yanye mantiki hili kunibadili mtazamo wangu kuhusu viboko.nadhani waafrica hatutaki kutoka nje ya box kifikra kufikiria njia mbadala za malezi isiwe lazima fimbo pekee yake. Halafu
Mithali 23:13 Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.Kupiga mtu yeyote yule(hasa asie na uwezo wa kukurudishia) ni hatua ya juu kabisa ya uonevu.
Jiulize, wewe ukikosea, ni nani huwa anakupiga?