DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Je mkuu Una Elimu sahihi ya malezi (parenting Education) au unatumia mfumo wa kuwa Mimi nilichapwa na Mimi nabidi kuchapa.?sio kua mtoto anapigwa kila dakika au kila kosa, kuna kosa unaona kabisa hapa bila kumkanda huyu hatutasikilizana vizuri ili iwe wakat mwnegine akikosea ukimwambia anaelewa, ukimlea mtoto akakosea ukawa unasema tu ntakupiga ntakuchapa utanitambua huyu anakua anajua huna cha kumfanya zaidi ya maneno matupu kiboko sometimes ni kizuri.
Watapewa adhabu.eeeh wewe lea hivohivo ipo siku yako wataenda watazoea hiyo sura utakuja na mbinu gani
kabisa, halaf sio kila kosa mtoto anakandwa mimi naongea mwisho mara mbili akirudia the same mistake namkanda kidogo akija kufanya kosa extra large namkanda vizuri sana hata akienda kwa bibi yake unapata pongezi mtoto unamlea vizuri anakusikiliza ukimwambia jambo hajui naleaje.Hizo nchi ambazo watoto hawachapwi zina mmonyoko mkubwa wa maadili pia ,sisi tunajiona hatuna maadili ila ukitembelea kwa wenzetu utaona bado sisi tuna maadili sanaπ
mimi silei mtoto kama nilivyolelelwa kwa sababu hata mm stiki nilizilamba vizuri sana na kwanamna flani zilinisaidia sasa mm nalea lakini akinikosea kosa naona kabisa anastahili kupigwa nampiga kwa kweliJe mkuu Una Elimu sahihi ya malezi (parenting Education) au unatumia mfumo wa kuwa Mimi nilichapwa na Mimi nabidi kuchapa.?
Ni vizuri ukadeal na AKILI ya mtoto na sio mwili wake.
ooh sawaWatapewa adhabu.
Wenzetu hao tunaowataka kuwaiga , wao wenyewe wanatamani waishi kama sisi , kukuta toto linamwambia mzazi kwamba ni shoga kwa wenzetu ni kawaida sana ,hii mambo sioni kama kwetu ina afyaπ€kabisa, halaf sio kila kosa mtoto anakandwa mimi naongea mwisho mara mbili akirudia the same mistake namkanda kidogo akija kufanya kosa extra large namkanda vizuri sana hata akienda kwa bibi yake unapata pongezi mtoto unamlea vizuri anakusikiliza ukimwambia jambo hajui naleaje.
mimi silei mtoto kama nilivyolelelwa kwa sababu hata mm stiki nilizilamba vizuri sana na kwanamna flani zilinisaidia sasa mm nalea lakini akinikosea kosa naona kabisa anastahili kupigwa nampiga kwa kweli
kizazi cha sasa watu tunaendeshwa na mfumo wa kisasa, mambo ya kuiga,hivi unamnyimaje mtoto kiboko? ameshaona madhara ya kunyima mtoto kiboko? asilimia kubwa ya watoto wasiopigwa japo sio wote wakiwa wakubwa wengi huwapanda wazazi wao vichwan na ukute mtoto huyo alilelewa na mzazi mmoja tu hilo ndio balaa, lea mtoto kama vile kesho hautakuwepo awese kuishi mazingira yoyote yale.Wenzetu hao tunaowataka kuwaiga , wao wenyewe wanatamani waishi kama sisi , kukuta toto linamwambia mzazi kwamba ni shoga kwa wenzetu ni kawaida sana ,hii mambo sioni kama kwetu ina afyaπ€
Hiyo Ajenda ya ushoga mnaitumia Kama defense mechanism Ila mnashindwa kutazama upande chanya wa wenzetuWenzetu hao tunaowataka kuwaiga , wao wenyewe wanatamani waishi kama sisi , kukuta toto linamwambia mzazi kwamba ni shoga kwa wenzetu ni kawaida sana ,hii mambo sioni kama kwetu ina afyaπ€
tupo jamii ya changanyikeni, asilimia kubwa ya watoto wasiopigwa kwao ndio watovu wa nidham hasa wakiwa wanacheza pamoja na wenzao wanaokandwa na unaiona tofautiUnawajengea nidhamu ya uwoga watoto wako .
Ikiwa hawawezi kukusikiliza mpaka utumie viboko basi ujue hata wakikusikiliza ni kwakuwa wanaogopa viboko.
No mkuu nmetolea mfano tu , mmonyoko wa maadili ni mkubwa sana kwa wenzetu tofauti kabisa na kwetu , pia hata wao wanapenda sana jinsi sisi tulivyo naongea kitu ninachokijua na sio nilichosikia mkuu .Hiyo Ajenda ya ushoga mnaitumia Kama defense mechanism Ila mnashindwa kutazama upande chanya wa wenzetu
Hao wenzetu wefanikiwa kuzalisha watoto bora ambao wapo productive tangia wakiwa wadogo hauwezi ukalinganisha na sisi
Ila nyie kila mada mnakimbilia muchomekea Ajenda ya Ushoga
tupo jamii ya changanyikeni, asilimia kubwa ya watoto wasiopigwa kwao ndio watovu wa nidham hasa wakiwa wanacheza pamoja na wenzao wanaokandwa na unaiona tofauti
No mkuu nmetolea mfano tu , mmonyoko wa maadili ni mkubwa sana kwa wenzetu tofauti kabisa na kwetu , pia hata wao wanapenda sana jinsi sisi tulivyo naongea kitu ninachokijua na sio nilichosikia mkuu .
Hata hawa watoto wa miaka ya 2000 wengi wao hawakupitia viboko , je umeona tofauti yoyote kimaadili?Kwahiyo bila bakora hautoboi mkuu π€π€π€
mimi natumia bakora pale inapotakiwa hivo imo kwenye malezi yangu lakini sio kila mara bakora noKwahiyo bila bakora hautoboi mkuu π€π€π€
πππππSisi umaskini tu ndio unatusumbua.Waafrica na wazungu
Kuhusu maadili hatuwafikii
Ebu tazama tu viongozi wetu wanaiba mpaka unaogopa sasa unajiuliza maadili ya MTU mweusi ni yapi hayo
Sisi ni wahuni Sana hatuna maadili yoyote
Tumebaki kusema kuwa hatufanyi ushoga basi hayo ndo maadili
πππππSisi umaskini tu ndio unatusumbua.
Njaa huwa ina tabia ya kuja na maelekezo mkuuππππ