min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mkuu ninao marafiki zangu huwa wanatamani sana wawe kama sisi , ndio maana nchi nyingi za ulaya na America kwa sasa wanavutiwa ki mahusiano na watu kutoka Africa sababu ni hiyo ya maadili.Siku ya kwanza kwenda shule mzazi anakuambia uwe makini wasije wakakuibia .
Hapo ukiangalia unaenda boarding school 🤔🤔🤗😁 maadili sisi hatuna
Mume kupewa pole au kuulizwa kama amekula ,hiyo kwa wenzetu ni kituko sisi bado tupo kwenye reli mkuu😁😁😁