Waafrika waliingiaje kwenye MIZIMU.
Waafrika walikuwa gizani wakimtafuta Mungu so walikuwa wakiomba wasichokielewa waliomba Milima, miti mikubwa, nk. Ndipo shetani akatake advantage kupitia mizimu akajifunua kwao kujibu kupitia vile walivyoviomba, ikiwemo kuwatokea watu kupitia sura za mababu zao wa zamani waliokufa kwa kuwapa maagizo mfano watoe sadaka za wanyama, vyakula, damu za watu, nk Ili wapate kusaidiwa.
Upo uhusiano Mkubwa Kati ya mchawi, mganga, wahenga, mizimu, majini kwa maana hawa wote wapo chini ya mmiliki mmoja ambae wao umuita mungu yaani shetani.
Thus mchawi anaouwezo wa kupatana na Mzimu wa ukoo wenu ukuondolee kinga Ili wakuloge, hii ni kwa wale wanaolindwa na mizimu.
Mchawi akikushindwa anauuita Mzimu wenu anauambia namtaka fulani then Mzimu umwambia mchawi utanipa nini mchawi uuliza Mzimu useme unataka upewe nini, Mzimu usema upewe labda, kuku, chakula, asali, maziwa, nk. Then mchawi umpa Mzimu akitakacho KISHA Mzimu ukuondolea kinga then unalogwa au uliwa na wachawi.
Mchawi, jini, mganga, nk hawana uwezo wa kuua Mzimu, Mzimu unao uwezo wa kuwauwa hao wote.