Je, Watu waliokufa wana nguvu kuliko walio hai?

Mwanadamu (hai)ni mwenye nguvu sana kiasi kwamba hajui kiwango Cha nguvu alizokuwa nazo.

Ulimwengu wa Roho haufanyi kazi yeyote yenye kuleta athari kwenye ulimwengu wa mwili bila kupata pass kwa mwanadamu.

Maandiko yanasema lililofungwa duniani na mbinguni lime.......?malizia wewe.

Shetani , au majini yakitaka kufanya kazi yanamuingilia mtu ndio maana kwa wakristo ili wanadamu wakombolewe ilimlazimu Yesu kuja kama mwanadamu maana pasipo kuwa hivyo angekosa uhalali wa sheria ya Mungu ambayo ameshaweka kuwa uhalali duniani unapatikana kwa mwanadamu hai mwenye mwili.

Sema kwa kuwa wanadamu hatujui mamlaka yetu ndio maana tunachezewa, ila ukitambua mamlaka yako hupati shida za kuamini mizimu kabisa.
 
Watu tunazijua nguvu zetu, tunaamini mizimu na hatuchezewi na mtu wala chochote.kila imani ina kanuni zake, cha msingi kila mtu ashike aliposhikilia.
 
Shetani aliyeuvaa mwili wa mababu waliokufa na kujipa umiliki juu ya utawala wa maisha ya ukoo husika ulio hai kupitia taswira ya babu yao aliyekufa zamani.
Hii ni kwa mujibu wa Biblia, Quran na vitabu vya elimu ya uchawi.
mzimu wenyewe ni wewe hapo ambaye ni shetani mkubwa uliyevaa umbo la mwanadamu
 
MUHUBIRI 9:5,10.

5:KWA MAANA WALIO HAI WANAJUA KWAMBA WATAKUFA,LAKINI WAFU HAWAJUI JAMBO LOLOTE KAMWE,WALA HAWANA THAWABU TENA,KWA SABABU KUMBUKUMBU LOTE KUWAHUSU LIMESAHAULIWA.

10:JAMBO LOLOTE UNALOFANYA KWA MKONO WAKO, LIFANYE KWA NGUVU ZAKO ZOTE, KWA SABABU HAKUNA KAZI WALA MIPANGO WALA UJUZI WALA HEKIMA KABURINI MAHALI UNAPOKWENDA.
 
Your browser is not able to display this video.

Isikilize kwanza hii video.
 
Kama kufa ni sawa na kuwa kama hukuwahi kuwepo, basi ni bayana kwamba wafu hawana nguvu kuliko walio hai.....
 
Kivipi
 
Sasa huyo atakaye Kuja kuwahukumu wazima na wafu ili hali wafu hawatakuwepo maana tayari wengine watakuwa mbinguni tayari
 
Jini kumbe na yeye anaweza kufa [emoji848]
 
mizimu ni majini yanayojifanya wafu
wafu hawajui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…