Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

Urafiki wa mashaka kati ya Lowassa na Kikwete ulikuwa kimaslahi zaidi. Kuchimbana, kusengenyana, kuzidiana kete ndio ulikuwa mchezo.

Ilibidi mmoja atoke kati ya hao mafahali wawili.
 
Awamu yake iliongoza kwa mikataba ya hovyo sana na ya kisanii, ufisadi na wizi dhidi ya raslimali za nchi.
Ni raisi ambae sio wa kumuamini!
 
Huyu Lipumba si ndio alimgeuka Maalim Seif ??? Wazee wengine bana hata haya hana.
 

Attachments

  • 20231129_164544.jpg
    22.1 KB · Views: 1
Hivi bado kuna watu wenye akili ndogo kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…