Je Watu wameacha kumwogopa Kikwete? Wameamua tu waseme ukweli?

Hizo ndizo siasa. Maslahi ya nchi kwanza urafiki baadae. Kikwete alijua na alimjua Lowassa kuliko wewe ulieko MTAANI au kijijini. Miaka miwili tu! Akampa Rostam mkataba wa Richmond yakapigwa mabilioni ya fedha za wananchi! Haiitaji akili kujua nani alihusika kwani Rais alimuamini Waziri wake mkuu na rafiki yake.

Ndio...watu wa Pwani tunasemeaga rohoni..." Neng'eneka tu, tuone mwisho wako!'"Wala hatukunji ndita au kushika panga.Unawekwa akiba na unakuwa labeled kuwa si wa kuaminika.

Akaachwa atambe,akatumia fedha nyingi kuweka wajumbe wa NEC kila mkoa, fedha zilimwagwa waziwazi kwa wajumbe,wakaimba na kulitukuza jina lake. Akapata kiburi na akajua kuwa kamaliza hakuna wa kumzuia. Akatamka waziwazi kuwa mkataba wa Richmond yalikuwa ni maagizo ya bosi wake (Rais). Tena hadharani. Lowassa akasahau kuwa yeye ndiye aliyempa hiyo kampuni ambayo mwanzo yeye alisema aliwaamini wa chini yake wakamuangusha.

Akaona kashika makali akasahau kuwa alikuwa ameshika mpini. Kili chotokea ndio hicho kinaitwa unafiki
Urafiki wa mashaka kati ya Lowassa na Kikwete ulikuwa kimaslahi zaidi. Kuchimbana, kusengenyana, kuzidiana kete ndio ulikuwa mchezo.

Ilibidi mmoja atoke kati ya hao mafahali wawili.
 
Awamu yake iliongoza kwa mikataba ya hovyo sana na ya kisanii, ufisadi na wizi dhidi ya raslimali za nchi.
Ni raisi ambae sio wa kumuamini!
 
Huyu Lipumba si ndio alimgeuka Maalim Seif ??? Wazee wengine bana hata haya hana.
 
Attachments

  • 20231129_164544.jpg
    20231129_164544.jpg
    22.1 KB · Views: 1
Hizo ndizo siasa. Maslahi ya nchi kwanza urafiki baadae. Kikwete alijua na alimjua Lowassa kuliko wewe ulieko MTAANI au kijijini. Miaka miwili tu! Akampa Rostam mkataba wa Richmond yakapigwa mabilioni ya fedha za wananchi! Haiitaji akili kujua nani alihusika kwani Rais alimuamini Waziri wake mkuu na rafiki yake.

Ndio...watu wa Pwani tunasemeaga rohoni..." Neng'eneka tu, tuone mwisho wako!'"Wala hatukunji ndita au kushika panga.Unawekwa akiba na unakuwa labeled kuwa si wa kuaminika.

Akaachwa atambe,akatumia fedha nyingi kuweka wajumbe wa NEC kila mkoa, fedha zilimwagwa waziwazi kwa wajumbe,wakaimba na kulitukuza jina lake. Akapata kiburi na akajua kuwa kamaliza hakuna wa kumzuia. Akatamka waziwazi kuwa mkataba wa Richmond yalikuwa ni maagizo ya bosi wake (Rais). Tena hadharani. Lowassa akasahau kuwa yeye ndiye aliyempa hiyo kampuni ambayo mwanzo yeye alisema aliwaamini wa chini yake wakamuangusha.

Akaona kashika makali akasahau kuwa alikuwa ameshika mpini. Kili chotokea ndio hicho kinaitwa unafiki
Hivi bado kuna watu wenye akili ndogo kama hizi
 
Back
Top Bottom