Je, Waziri wa Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia?

wee we we Mama kasema tukutane baada ya jumatatu ya Pasaka
naona ndio zamu yao, maana VP kasema Makatibu na Manaibu wana viugomvi vya ajabuajabu, huyo atang'oka tu hawezi kaa na waziri Mnyiramba
Ngoja pasaka iishe tushuhudie huo mtanange
 
Angemteua mwanae ambae nae ni mbunge na msomi mzuri bado ingekuwa shida tu. Pale ilikuwa lazima aweke mtu wake ambae anamuamini.
Hajafanya kosa hapo maana unajiwekea mtu unaye muamini kuwa piga ua hawezi kukuzunguka
 
Msimamia uchaguzi🤣🤣
 
Kuna ka harufu kama jamaa kaunga unga elimu - Kampala International University??
 
Subirini uchaguzi wa mtaa uone wakatavyooshooshaa...mkwe tena

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…