Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] Asanteni sana nimeongeza maarifa kwenye ufahamu wangu kupitia hizi replies zenu......JF ni kisima cha maarifa mengi sana[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Uhusiano wa waethopia(weusi wenzetu) na waisrael umeanza toka zamani sana kabla hata Suleiman hajazaa na Queen of Sheba. Jiulize kwa nini?? Jibu ni ndugu wenzao wale na walikua wanafanana nao. Kuna mfalme alitoka Ethiopia kwenda kuwapiga maadui wa Israel na akashinda.

Wasomi wa kiafrika ndo tunaotakiwa kuandika historia yetu sio wazungu. Usitegemee anaekuchukia atakuandikia historia nzuri. Ili akutawale kiakili lazma akupe historia dhaifu na yake kuifanya bora.Sudan kwa wanubi weusi kuliko sisi kuna mapiramidi mengi kuliko Misri ila usitegemee mzungu na media zao watasifia mazuri ya huku.
 
Mwanakondoo aliyegeuka na kuwa na ulimi wa nyoka ufunuo huko
[emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hivi si ndio wanasema fuvu la binadamu wa awali limepatikana Tanzania Olduvai Gorge, sasa je hilo fuvu ni la Adam au Hawa?

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Omba msaada kwa wana jukwaa wakusaidie unionyeshe mstari mmoja kaika kitabu cha mithali kinachosema uitafute elimu China,kama haupo kiri jukwaani kuwa ulikosea. Elimu katika Mithali inatajwa vema Mithali 4:13 waweza kuanzia hapo kuutafuta mstari ulioukusudia kama kweli upo.
 
toa maana sahihi ya Mzungu ni nani? nadhani tukianzia tunaweza pata pakuanzia huu mjadala....
Waskandinavia..walisambaa magharibi ya ulaya kuanzia uingereza, ujeruman, na mataifa mengi ya ulaya wamechanganyika na walatin na waarabu na makabila mengine....mwanzoni marekani waitaliano,wahispaniola kwenye sensa hawakutambulika kama whites (wazungu).
 
Na ndio maana hata JUA linawaathiri kwa sababu sio wa Asili wa Dunia hii

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
kuna story ya biblia juu ya malaika waliotamani mabinti wa wanadamu baadae wakashuka duniani wakawaingilia wakazaa majitu ila haikueleza mwisho wake hao ndio wazungu wenye laana ya asili
Ndio bloodline yao hao wazungu na ndio.maana wana macho ya blue

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Haina jina bali ni muunganiko wa majimbo madogodogo yenye tamaduni na mila tofauti... Japo kiasili wenyeji ni wahindi wekundu waliokuja kumalizwa na wazungu
Hao wahindi wekundu pia nasikia ni moja ya kati ya kabila 12 za israel

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…