Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Yan hapo walimuomba mange awafanyie jitihada za kuwachamba wcb. Mange mwenyewe kaona aseme ukweli kua hiyo sio hit song ndio maana views haziendi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu naona hata mange mwenyewe kamchoka.
 
Ina maana hii ni mara ya kwanza kwako kuona au kusikia suala kama hili?!

Kama hujawahi kusikia, wasome wenyewe Youtube hapa na utakuta hii:


Au pitia hii screenshot:

View attachment 776381
Heri uwaelimishe maana hata diamond huwa inampata sema jamaa tuu wimbo ameharibu na huo ndo ukweli wakiendelea kutafuta fake viewers fagio Litaendelea kupita
 
Sehem gani niliyosema Kiba promo wamempa bure? Hebu nionyeshe wewe.
 
 
MVUMO WA RADI ITABIDI INYWE MOFAYA ENERGY DRINK ILI IONGEZE NGUVU YA KUPATA VIEWERS
 
Nilidhani huu uzi unazungumzia habari za Views wa Kiba!! Sasa Mashabiki wa Diamond kwanini walie lie kuhusu Views wa Kiba?!

Kwa kumbukumbu zangu, ni mashabiki wa Kiba ndio walikuwa hodari kusema Diamond ananunua Views lakini hatimae leo amefahamika ni nani anafanya janja janja kwenye views!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…