Je, WCB wanahusika kumhujumu Ali Kiba you tube, views kuganda?

Album ya A Boy from Tandale ingeflop isingeshika no 1 itune kenya kwa muda wa wiki 2+,ila sio mbaya naona dada kaamua kuokoa jahazi lkn kijana anahali mbaya,ngoja tuone labda views zitadouble ndani ya siku moja.Sasa hapa hili boko ndio angelitoa Diamond Mange angeliongelea mwezi mzima.
Yan hapo walimuomba mange awafanyie jitihada za kuwachamba wcb. Mange mwenyewe kaona aseme ukweli kua hiyo sio hit song ndio maana views haziendi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu naona hata mange mwenyewe kamchoka.
 
Ina maana hii ni mara ya kwanza kwako kuona au kusikia suala kama hili?!

Kama hujawahi kusikia, wasome wenyewe Youtube hapa na utakuta hii:

Au pitia hii screenshot:

View attachment 776381
Heri uwaelimishe maana hata diamond huwa inampata sema jamaa tuu wimbo ameharibu na huo ndo ukweli wakiendelea kutafuta fake viewers fagio Litaendelea kupita
 
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
Sehem gani niliyosema Kiba promo wamempa bure? Hebu nionyeshe wewe.
 
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
2018-05-13_19.52.14.jpg
 
MVUMO WA RADI ITABIDI INYWE MOFAYA ENERGY DRINK ILI IONGEZE NGUVU YA KUPATA VIEWERS
 
Kitu kimoja ni dhahiri kwa wafuasi wa Diamond: Alikiba kupewa airtime na media inawauma mno! Hivi mnadhani hao Clouds wamempa hiyo promo bure? Hiyo ni biashara, management ya Kiba wamelipia, kiasi kwamba msanii yeyote akilipa naye anafanyiwa hivyo. Lakini pia hakuna msanii aliyekuwa anapewa promo na mawingu kama Mondi! Mbona wakati huo hakukua na lialia kama hii?
Nilidhani huu uzi unazungumzia habari za Views wa Kiba!! Sasa Mashabiki wa Diamond kwanini walie lie kuhusu Views wa Kiba?!

Kwa kumbukumbu zangu, ni mashabiki wa Kiba ndio walikuwa hodari kusema Diamond ananunua Views lakini hatimae leo amefahamika ni nani anafanya janja janja kwenye views!
 
Back
Top Bottom