Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Yan hapo walimuomba mange awafanyie jitihada za kuwachamba wcb. Mange mwenyewe kaona aseme ukweli kua hiyo sio hit song ndio maana views haziendi[emoji23][emoji23][emoji23]Album ya A Boy from Tandale ingeflop isingeshika no 1 itune kenya kwa muda wa wiki 2+,ila sio mbaya naona dada kaamua kuokoa jahazi lkn kijana anahali mbaya,ngoja tuone labda views zitadouble ndani ya siku moja.Sasa hapa hili boko ndio angelitoa Diamond Mange angeliongelea mwezi mzima.
Halafu naona hata mange mwenyewe kamchoka.