Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

Mimi nakapenda katoto.
Jamani kusema ukweli nimesikitishwa sana Na jinsi zoezi lilivyoenda.
Shart chagua MTU mmoja..Kuna watu wamechagua kijiji.
Follow instructions given!
No wonder tunafeli mitihani shuleni.
Lengo tuone 1 anayetajwa sana.
Sasa hapa tutajuaje...lengo kuongeza ufanisi wa kuleta mada zenye mashiko Na zenye kuburudisha.
Haya tuanze tena tajeni Mmoja mmoja.
Mfano.MTU anapooa au kuolewa anakuwa hajawapenda Na wengine?
But mwisho anachagua 1
Sasa sijui Ndo kuogopa?? Au Ndo sijajua?? Na hapa Ni yule anayewazidi wengine.( Acheni michepuko kwenye selection.)[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh
Wasamehee bure tatizo sio sisi ila ni mioyo yetu inaviherehere vya kutaja wengi
 
Back
Top Bottom