Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Amesharudi kumbe kipenzi changu toka jana.Jamani hivi kumbe ana ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesharudi kumbe kipenzi changu toka jana.Jamani hivi kumbe ana ban
[emoji23][emoji23]msamehe wiiHivi kumbe Mimi nimelala napigwa na baridi wewe ulikuwa huku???
Sasa basi Leo hamna chai nenda kazini hivyo hivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yake.Huyo ni yule rafki yako mwanamitindo?
Nimemsamehe Wii ila hajanywa chai kaziraa.[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23]msamehe wii
Madame S
Mimi nakapenda katoto.Shimba ya buyenze,Emmyta, espy, shunie, daby, emoji, na wengine woteee
Jamani kusema ukweli nimesikitishwa sana Na jinsi zoezi lilivyoenda.Mimi nakapenda katoto.
TehJamani kusema ukweli nimesikitishwa sana Na jinsi zoezi lilivyoenda.
Shart chagua MTU mmoja..Kuna watu wamechagua kijiji.
Follow instructions given!
No wonder tunafeli mitihani shuleni.
Lengo tuone 1 anayetajwa sana.
Sasa hapa tutajuaje...lengo kuongeza ufanisi wa kuleta mada zenye mashiko Na zenye kuburudisha.
Haya tuanze tena tajeni Mmoja mmoja.
Mfano.MTU anapooa au kuolewa anakuwa hajawapenda Na wengine?
But mwisho anachagua 1
Sasa sijui Ndo kuogopa?? Au Ndo sijajua?? Na hapa Ni yule anayewazidi wengine.( Acheni michepuko kwenye selection.)[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaaa.Au unaona nisipomtaja Na Fulani atanifuata PmTeh
Wasamehee bure tatizo sio sisi ila ni mioyo yetu inaviherehere vya kutaja wengi
Shoga angu. Acha tu,kuna kumbe alijichanganya nikaona ndogo tu lakini jf wakamind. Nimerudi dark angel wanguJamani hivi kumbe ana ban
Pole mpz wangu.Shoga angu. Acha tu,kuna kumbe alijichanganya nikaona ndogo tu lakini jf wakamind. Nimerudi dark angel wangu
Asante luv. [emoji2]Pole mpz wangu.
Mtu akijichanganya lipuaa. Ila usiweke tusi direct mpz. Karibu sana jeifu tena .