Tuko wengi Sana mkuuKumbe tumo wengi humu eh!
Nakumbuka mstari mmoja yakobo akimlaani RuebenNi kweli,
Ni kweli kuna waliozaa nje ya ndoa wengine kuoa wake wengi.
Mfano Yakobo alikua na wake wawili ila mzaliwa wake wa kwanza ni Reuben. Hata ukioa wengi lazima awepo yuke wa kwanza kuzaliwa. Hata wakijifunguz siku moja yupo yule ataanz kutoka tumboni.
Nb. Reuben alipoteza haki na baraka za mwana wa kwanza zote zikaenda kwa Yuda, kama ilivyotokea kwa Esau na yakobo.
Mzaliwa wa kwanza katika familia yenuUmeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
5Nakumbuka mstari mmoja yakobo akimlaani Rueben
"RUeben U mzaliwa wa kwanza nguvu na malimbuko ya uwezo wangu umewashinda wengine kwa ukuu ......."
RUeben aliharibu sijui kwa kulala na kijakazi Cha babaye
Sidhani kama umejibu sawa na kile Da'Vinci ameongelea.Yaani hapa unatujengea hoja kwamba mtoto wa kwanza wanadamu wote are conspiring to take him out...
Yaani dunia nzima imekaa imejipanga under conspiracy kummaliza?
Yaani unajaribu kuwadanganya hawa watoto wawe na victimhood mentality ..kwamba dunia nzima ni maadui zao na are there to finish them..
Kwanza it is not true....
Adui kila mwanadamu anae..awe mtoto wa kwanza au wa katikati au wa elfu moja,ni lazima kila mwanadamu awe na adui of any type...
Thats one....
Two....hakuna watu wengi wanakaa eti wanakutafuta wakumalize,binadamu hawana muda wa hovyo hivyo maana muda wao mwingi wanatumia kutafuta mkate wa kila siku ambao unawashinda sometimes...
Dont get me wrong....adui ni lazima wawepo,sio wengi kiasi hicho unachotaka kutuaminisha..not really!
Hii kukaa unawaza eti dunia nzima is out there to get me ni mentality ya kipumbavu sana..utakua haupo imara kutafuta mali kila siku unawaza upumbavu wa eti watu wanataka kunimaliza
Effect yake ni kwamba utakua mtu wa kulalamika kila siku,enxity,depression,kua combative,distrust,etc...ni ujinga!
Sijazungumzia watu nazungumzia shetani, adui kila mtu anaye. Ila adui nayemzungumzia hapa ni adui wa kiroho na si wa kimwili kama ulivyoeleza hapo juu. Sidhani kama umesoma mada. Kama umesoma je umeielewa??Yaani hapa unatujengea hoja kwamba mtoto wa kwanza wanadamu wote are conspiring to take him out...
Yaani dunia nzima imekaa imejipanga under conspiracy kummaliza?
Yaani unajaribu kuwadanganya hawa watoto wawe na victimhood mentality ..kwamba dunia nzima ni maadui zao na are there to finish them..
Kwanza it is not true....
Adui kila mwanadamu anae..awe mtoto wa kwanza au wa katikati au wa elfu moja,ni lazima kila mwanadamu awe na adui of any type...
Thats one....
Two....hakuna watu wengi wanakaa eti wanakutafuta wakumalize,binadamu hawana muda wa hovyo hivyo maana muda wao mwingi wanatumia kutafuta mkate wa kila siku ambao unawashinda sometimes...
Dont get me wrong....adui ni lazima wawepo,sio wengi kiasi hicho unachotaka kutuaminisha..not really!
Hii kukaa unawaza eti dunia nzima is out there to get me ni mentality ya kipumbavu sana..utakua haupo imara kutafuta mali kila siku unawaza upumbavu wa eti watu wanataka kunimaliza
Effect yake ni kwamba utakua mtu wa kulalamika kila siku,enxity,depression,kua combative,distrust,etc...ni ujinga!
Je unaamini kstika uwepo wa Mungu??"shetani"?
Brother hebu tueleze huyo "shetani" yupo wapi?/
Hebu zungumzia vitu vinavyojadilika maana huyo shetani hajawahi kua hapa kujitetea na kukubaliana na wewe haya yote unayomsingizia
Unachojaribu ku-pin all these misfortunes to a being called "shetani" ni maajabu maana hayo yote yamefanywa na wanadamu,shetani has never been seen anywhere doing these things..
Tuongelee tunaowaona wanafanya haya madhambi....shetani ni kitu cha kufikirika hatujawahi kukishuhudia kikifanya chochote tuseme tumuwekee hayo matendo mgongoni mwake
Unadhani origin ya mwanadamu ni ipi..?Possibly sijajibu au nimejibu....hapa ni matter of personal opinion..which is fine with me..
Shida ni hii tabia ya victimhood ndio siitaki,haina la maana.....
Hii kukaa na kudhani kuna watu are looking for you to take you out ni paranoia ya kipumbavu
So mkuu, unaamini katika Mungu au?Mimi sijui,wewe unajua?
Usije niambia "aliumbwa" na "mungu" maana evidence ya existance tu ya huyo "mungu" haipo
Sasa sijui nyie mmejulia wapi maana hajawahi kuja hapa akaongea na mtu akamwabia that nonsense!
Labda uje na scientific argument,ambayo pia ni hypothesis!
No one knows with 100% uncertainty!
Well!.. tunasema Kwa nini Mungu amependelea sana wazaliwa wa pili kuliko wazaliwa wa kwanza Ki-Biblia? Mungu alisema waziwazi kuwachukia baadhi ya wazaliwa wa kwanza wa kiume. sababu ni uzao wa Shetani Mara nyingi, japo siyo lazima awe wa kiume wa kwanza.Simply and Clear
ila ni nzaliwa wa kwanza kiroho kwetu
Gratitude
Mama ni Mungu maana anatumika na Muumba katika kuendeleza uzazi..Well!.. tunasema Kwa nini Mungu amependelea sana wazaliwa wa pili kuliko wazaliwa wa kwanza Ki-Biblia? Mungu alisema waziwazi kuwachukia baadhi ya wazaliwa wa kwanza wa kiume. sababu ni uzao wa Shetani Mara nyingi, japo siyo lazima awe wa kiume wa kwanza.
Ki-Biblia Mwanamke ni Mama wa viumbe Vyote! ina maana kuna watoto wa Nuru na watoto wa Giza yaani walio pandikizwa na Shetani. Mara zote shetani ana malengo mabaya ktk Familia zetu, hivo anaanza kuweka mbegu zake ili mpotee!
Ili Shetani akumalize kabisa kiimani anaweka mbegu zake za mtoto mnae fanana sana sura kwa kila kitu! Lakini Mzaliwa wa kwanza kihalali ni yule wa pili! KM ilivotokea kwa Seth, Abel ghidi ya Cain, Isack dhidi ya Ishmael,, Yakobo dhidi ya Esau nk.
Kibinadamu tunaangalia tu Mtoto aliye toka kwanza wa kiume! ndo huyo huyo wa kwanza! lkn pia mkiwa wengi shetani anaweza chomeka hata wawili au watatu!
Utamjuaje sasa huyo Mtoto? ndo km ulivoeleza hapo chini! hata umuombee vipi! ndo kwanzaaa!
Nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini kwenye ukoo wetu kila mtoto wa kwanza lazima afe.Hebu yaorodheshe hayo maswali kiongozi