Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Ni kweli,

Ni kweli kuna waliozaa nje ya ndoa wengine kuoa wake wengi.
Mfano Yakobo alikua na wake wawili ila mzaliwa wake wa kwanza ni Reuben. Hata ukioa wengi lazima awepo yuke wa kwanza kuzaliwa. Hata wakijifunguz siku moja yupo yule ataanz kutoka tumboni.
Nb. Reuben alipoteza haki na baraka za mwana wa kwanza zote zikaenda kwa Yuda, kama ilivyotokea kwa Esau na yakobo.
Nakumbuka mstari mmoja yakobo akimlaani Rueben

"RUeben U mzaliwa wa kwanza nguvu na malimbuko ya uwezo wangu umewashinda wengine kwa ukuu ......."

RUeben aliharibu sijui kwa kulala na kijakazi Cha babaye
 
Umeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
Mzaliwa wa kwanza katika familia yenu
 
Nakumbuka mstari mmoja yakobo akimlaani Rueben

"RUeben U mzaliwa wa kwanza nguvu na malimbuko ya uwezo wangu umewashinda wengine kwa ukuu ......."

RUeben aliharibu sijui kwa kulala na kijakazi Cha babaye
5
1 Na wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; (kwa maana ndiye aliyekuwa mzaliwa wa kwanza, lakini, kwa kuwa alikinajisi kitanda cha babaye, haki yake ya mzaliwa wa kwanza walipewa wana wa Yusufu, mwana wa Israeli; tena nasaba isihesabiwe kwa kuifuata hiyo haki ya mzaliwa wa kwanza.

Mwanzo : Mlango 35
22 Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari.Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
 
Yaani hapa unatujengea hoja kwamba mtoto wa kwanza wanadamu wote are conspiring to take him out...

Yaani dunia nzima imekaa imejipanga under conspiracy kummaliza?

Yaani unajaribu kuwadanganya hawa watoto wawe na victimhood mentality ..kwamba dunia nzima ni maadui zao na are there to finish them..

Kwanza it is not true....

Adui kila mwanadamu anae..awe mtoto wa kwanza au wa katikati au wa elfu moja,ni lazima kila mwanadamu awe na adui of any type...

Thats one....

Two....hakuna watu wengi wanakaa eti wanakutafuta wakumalize,binadamu hawana muda wa hovyo hivyo maana muda wao mwingi wanatumia kutafuta mkate wa kila siku ambao unawashinda sometimes...

Dont get me wrong....adui ni lazima wawepo,sio wengi kiasi hicho unachotaka kutuaminisha..not really!

Hii kukaa unawaza eti dunia nzima is out there to get me ni mentality ya kipumbavu sana..utakua haupo imara kutafuta mali kila siku unawaza upumbavu wa eti watu wanataka kunimaliza

Effect yake ni kwamba utakua mtu wa kulalamika kila siku,enxity,depression,kua combative,distrust,etc...ni ujinga!
Sidhani kama umejibu sawa na kile Da'Vinci ameongelea.
 
Sijazungumzia watu nazungumzia shetani, adui kila mtu anaye. Ila adui nayemzungumzia hapa ni adui wa kiroho na si wa kimwili kama ulivyoeleza hapo juu. Sidhani kama umesoma mada. Kama umesoma je umeielewa??
 
"shetani"?

Brother hebu tueleze huyo "shetani" yupo wapi?/

Hebu zungumzia vitu vinavyojadilika maana huyo shetani hajawahi kua hapa kujitetea na kukubaliana na wewe haya yote unayomsingizia

Unachojaribu ku-pin all these misfortunes to a being called "shetani" ni maajabu maana hayo yote yamefanywa na wanadamu,shetani has never been seen anywhere doing these things..

Tuongelee tunaowaona wanafanya haya madhambi....shetani ni kitu cha kufikirika hatujawahi kukishuhudia kikifanya chochote tuseme tumuwekee hayo matendo mgongoni mwake
Je unaamini kstika uwepo wa Mungu??
 
Possibly sijajibu au nimejibu....hapa ni matter of personal opinion..which is fine with me..

Shida ni hii tabia ya victimhood ndio siitaki,haina la maana.....

Hii kukaa na kudhani kuna watu are looking for you to take you out ni paranoia ya kipumbavu
Unadhani origin ya mwanadamu ni ipi..?
 
Mimi sijui,wewe unajua?

Usije niambia "aliumbwa" na "mungu" maana evidence ya existance tu ya huyo "mungu" haipo

Sasa sijui nyie mmejulia wapi maana hajawahi kuja hapa akaongea na mtu akamwabia that nonsense!

Labda uje na scientific argument,ambayo pia ni hypothesis!

No one knows with 100% uncertainty!
So mkuu, unaamini katika Mungu au?
 
Simply and Clear
ila ni nzaliwa wa kwanza kiroho kwetu
Gratitude
Well!.. tunasema Kwa nini Mungu amependelea sana wazaliwa wa pili kuliko wazaliwa wa kwanza Ki-Biblia? Mungu alisema waziwazi kuwachukia baadhi ya wazaliwa wa kwanza wa kiume. sababu ni uzao wa Shetani Mara nyingi, japo siyo lazima awe wa kiume wa kwanza.

Ki-Biblia Mwanamke ni Mama wa viumbe Vyote! ina maana kuna watoto wa Nuru na watoto wa Giza yaani walio pandikizwa na Shetani. Mara zote shetani ana malengo mabaya ktk Familia zetu, hivo anaanza kuweka mbegu zake ili mpotee!

Ili Shetani akumalize kabisa kiimani anaweka mbegu zake za mtoto mnae fanana sana sura kwa kila kitu! Lakini Mzaliwa wa kwanza kihalali ni yule wa pili! KM ilivotokea kwa Seth, Abel ghidi ya Cain, Isack dhidi ya Ishmael,, Yakobo dhidi ya Esau nk.

Kibinadamu tunaangalia tu Mtoto aliye toka kwanza wa kiume! ndo huyo huyo wa kwanza! lkn pia mkiwa wengi shetani anaweza chomeka hata wawili au watatu!
Utamjuaje sasa huyo Mtoto? ndo km ulivoeleza hapo chini! hata umuombee vipi! ndo kwanzaaa!
 
Mama ni Mungu maana anatumika na Muumba katika kuendeleza uzazi..
 
itabidi tuanzishe first borns brotherhood kudeal na hii changamoto hayo yote ni YA kweli
vita zetu ni kubwa sana
 
itabidi tuanzishe first borns brotherhood kudeal na hii changamoto hayo yote ni YA kweli
vita zetu ni kubwa sana
Anzisha mkuu watu wanahitaji calmness n spiritual support
 
Hebu yaorodheshe hayo maswali kiongozi
Nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini kwenye ukoo wetu kila mtoto wa kwanza lazima afe.
Mm mwenyewe ni wapili kuzaliwa kwenye familia na inamaana wa kwanza alikufa na mm wenyewe nimekuwa kwa misukosuko mingi sana. na mtoto wangu wa kwanza alifariki.
Na bado nina marafiki zangu kibao watoto wao wa kwanza hawako sawa kiakili na kimwili.
 
Back
Top Bottom