Daaah mkuu tafadhali nenda kavunje hizo roho..mababu zako wamewatoa wazawa wa kwanza kwa mizimu hivyo basi usipochukua hatua ya kuvunja roho hizo itaendelea hadi kwa wanao.Nilikuwa najiuliza hivi ni kwanini kwenye ukoo wetu kila mtoto wa kwanza lazima afe.
Mm mwenyewe ni wapili kuzaliwa kwenye familia na inamaana wa kwanza alikufa na mm wenyewe nimekuwa kwa misukosuko mingi sana. na mtoto wangu wa kwanza alifariki.
Na bado nina marafiki zangu kibao watoto wao wa kwanza hawako sawa kiakili na kimwili.
Hizo roho nazifunjaje mkuuDaaah mkuu tafadhali nenda kavunje hizo roho..mababu zako wamewatoa wazawa wa kwanza kwa mizimu hivyo basi usipochukua hatua ya kuvunja roho hizo itaendelea hadi kwa wanao.
Kwanza nikupe pole mkuu..Hizo roho nazifunjaje mkuu
Kwasasa mm sina imani yoyote nipo nipo tu.Kwanza nikupe pole mkuu..
Wala usijali haya mambo yapo mengi sana kwenye jamii yetu na nauhakika wengi humu inawatesa.
So kwanza mkuu kuna njia mbili za kuvunja..Moja Moto uuzime kwa moto (Kwa waganga) au moto uuzime kwa maji.(Mungu)
Kila njia inamatokeo yake.
I assume you are a believer of God The first Mover and the first existence.
So obviously utachagua njia ya moto kwa maji.....But you can choose njia uipendayo
Naomba nijue kwanza imani yako ili nikupe tips za kufanya kutokana na Imani yako
Je kanisa katoliki lina misa km zile za makanisa ya kiroho kuombea watu wa aina km hii uliyosema? Km wanayo utaratibu ukoje na km hawana waumini wa kikatoliki tuna solve vipi issue km hz ?Still there's chance..ni wewe kuamua tu mkuu. Ukipenda niambie tufanye kwa kupitia RC. Mungu anawanyeshea Mvua wote waamini na wasio waamini
Zipo...Hasa hua ni za Charismatic Catholic. Pia kunakuaga na maeneo maalumu kabisa mabapo misa na maombezi hufanyika. Nitakutajia baadhi ya maeneo nifahamuyo..Je kanisa katoliki lina misa km zile za makanisa ya kiroho kuombea watu wa aina km hii uliyosema? Km wanayo utaratibu ukoje na km hawana waumini wa kikatoliki tuna solve vipi issue km hz ?
Ahsante SanaZipo...Hasa hua ni za Charismatic Catholic. Pia kunakuaga na maeneo maalumu kabisa mabapo misa na maombezi hufanyika. Nitakutajia baadhi ya maeneo nifahamuyo..
--Mbezi louis kibanda cha mkaa
- Dar es Salaam
-Ubongo nyuma ya Stand
-Bunju
Chini ya kanisa Katoliki la Unga Limited kinaitwa St Joseph
- Arusha
Parokia ya Katubuka..
- Kigoma
Lakini pia kuna kitu kinaitwa Novena inaweza saidia
Natafuta maombi ya kikatoliki zaidi kuliko hayo mengineAhsante sana kiongozi
Na zinaleta matokeo chanya?Kwakweli ni jambo jema.. japo walokole wanatubeza ila Spiritual centre za katoliki ziko bomba sana. They're so enlightened enough!
hahahahaBasi matokeo utakayoyapata naamini utanipenda...[emoji38]
Another Question so far
Ila ningepata aliwahi enda nakupata matokeo chanyaBasi matokeo utakayoyapata naamini utanipenda...[emoji38]
Another Question so far