Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ume tuongopea Mungu hafanyi mambo kulingana na matakwa ya mwanadamu hata siku moja sasa unavosema Mungu ametulegezea cjui unamchukuliaje MunguMkuu as long as unajitambu kua wewe ndio mkubwa katika familia yenu basi hii inakuhusu. Haijalishi kwa mama au kwa baba.. Ilimradi una watu wanaokuita dada ua kaka.
Lakini kwa mujibu wa nukuu zangu za Holly Scriptures najua kwamba kipindi hicho Mussa anapewa agano hilo ilikua ni aghalabu ntu kuzalia nje. Bila ndoa.
so Ndio maana sheria ilikua specific mno kua mzawa wa kwanza wa familia ya ndoa kwakua walikua hawazai bila ndoa.
Mambo yanabadirika Mungu analegeza sometimes ili kuendana na wanawe
Ukitaka ujue kawalegezea msome Mungu wa agano la kale na agano jipya.Ume tuongopea Mungu hafanyi mambo kulingana na matakwa ya mwanadamu hata siku moja sasa unavosema Mungu ametulegezea cjui unamchukuliaje Mungu
Fanya utafiti mpendwaje nifanyeje..? unanishaurije mate?
Kwa mfano, tukichukuwa mfano huo wa vyombo vya usafiri, unafikiri mafundisho yake ni sawa; unayafafanuaje?Je ww ungeelezeaje
Kwanini uwaridhishe watu?Lakini mkuu unadhani naweza kiwaridhisha wote humu kwa imani zao...?
No,hiyo haiondoi uzaliwa wa kwanza alioulezea hapa!Umeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
Yes,mzaliwa wa kwanza na wa mwisho ni malango!Yah nakumbuka mwl. Mwakasege alishafundisha sana kuwa mtoto wa kwanza ni Lango.
Da vincci shukran kwa chakula cha akili
Kuna vitabu viwili alitoa!Ahsante je mnaweza kunipa source nami nikamsome huko alipofundiasha.? Sijawahi sikiliza mafunzo yake
Yes,sisi ni malango!Dah ma-firstborn tuna mitihani sana kila hatua tunatumia nguvu nyingi sana kumbe ndiyo sababu
Nafikiri njiro!Location Arusha!
Anauza.? You tube siwezi napenda kujisomea zaidi