Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Mkuu as long as unajitambu kua wewe ndio mkubwa katika familia yenu basi hii inakuhusu. Haijalishi kwa mama au kwa baba.. Ilimradi una watu wanaokuita dada ua kaka.

Lakini kwa mujibu wa nukuu zangu za Holly Scriptures najua kwamba kipindi hicho Mussa anapewa agano hilo ilikua ni aghalabu ntu kuzalia nje. Bila ndoa.
so Ndio maana sheria ilikua specific mno kua mzawa wa kwanza wa familia ya ndoa kwakua walikua hawazai bila ndoa.

Mambo yanabadirika Mungu analegeza sometimes ili kuendana na wanawe
Ume tuongopea Mungu hafanyi mambo kulingana na matakwa ya mwanadamu hata siku moja sasa unavosema Mungu ametulegezea cjui unamchukuliaje Mungu
 
Ume tuongopea Mungu hafanyi mambo kulingana na matakwa ya mwanadamu hata siku moja sasa unavosema Mungu ametulegezea cjui unamchukuliaje Mungu
Ukitaka ujue kawalegezea msome Mungu wa agano la kale na agano jipya.
alikua tit for tat..(Inasemekana wao ndo walikua wabishi zaiiidi kuliko sisi so njia pekee kuwanyoosha ilikua njia ya ukali. Hope ushakutana na matukio ya watu waliofanya kosa wakaadhibiwa vikali. Eg..unakumbuka kuna familia ya mke na mme walikufa wote kwa kudanganya kuhusu sadaka ?
 
Nakusalimu.
Mie ni mzaliwa wa kwanza na pekee sina wanaonifuata [emoji848]
Salamu zimefika...!
Unaweza pokea baraka kupitia nduguyo ambae ni wa kwanza hafu ukamshinda mbali yeye
 
Lakini mkuu unadhani naweza kiwaridhisha wote humu kwa imani zao...?
Kwanini uwaridhishe watu?

Watu wenye imani hawawezi kukubaliana na wewe, ndugu kuhusu hiki ulichoandika.

Lakini kwa kuwa watu humu, wengi hawana imani, wanakubaliana na wewe.
 
Kwanini uwaridhishe watu?

Watu wenye imani hawawezi kukubaliana na wewe, ndugu kuhusu hiki ulichoandika.

Lakini kwa kuwa watu humu, wengi hawana imani, wanakubaliana na wewe.
Je umejuaje kama wengi humu hawana imani mkuu.?
 
Umeelezea vizuri ila kwa wakristo, mzaliwa wa kwanza ni Yesu na sisi wote tunakuwa wazaliwa tunaofuata , kwaiyo ukimwamini kristo unakuwa huesabiki km mzaliwa wa kwanza .
No,hiyo haiondoi uzaliwa wa kwanza alioulezea hapa!
Yesu mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote kwa maana ya kuzaliwa Mara ya pili!

Lkn hiki alichokielezea hapa hakiingiliani!

Wazaliwa wa kwanza pia wamegawanyika,kuna wazaliwa wa kwanza kwa cheo,haki,imani nk!


JESUS IS LORD[emoji120]
 
Yah nakumbuka mwl. Mwakasege alishafundisha sana kuwa mtoto wa kwanza ni Lango.

Da vincci shukran kwa chakula cha akili
Yes,mzaliwa wa kwanza na wa mwisho ni malango!
La kufunga na la kufungua!

Na maombi yao wanaombewa tofauti!
Mi Nina kitabu mwalim alitoa,kizuri sana!



JESUS IS LORD[emoji120]
 
Ahsante je mnaweza kunipa source nami nikamsome huko alipofundiasha.? Sijawahi sikiliza mafunzo yake
Kuna vitabu viwili alitoa!
Km upo dar au Arusha unaweza enda kwny ofisi zake ukapata!

Lkn pia u-tube search "mzaliwa wa kwanza na meal.c mwakasege " kuna mtu mmoja kaweka alilofundisha mwalim kigoma,mwaka 2005!


JESUS IS LORD[emoji120]
 
Dah ma-firstborn tuna mitihani sana kila hatua tunatumia nguvu nyingi sana kumbe ndiyo sababu
Yes,sisi ni malango!
Na kila cha kwanza ni cha Bwana halafu na shetani anakitaka ndo balaa linapoanzia!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Location Arusha!
Anauza.? You tube siwezi napenda kujisomea zaidi
Nafikiri njiro!
Ngoja niulizie zaidi nitakupa info inbox!
Ndio elf 5 tu!

Sasa you tube pia utaongeza maarifa zaidi!amefundisha kwa kirefu zaidi humo 5 days!
Mi nili download!
Ndo nikajua kwann nilipitia nilikopita


JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom