Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Hivi mtoto wa kwanza kwa maana ipi? Kwa mama ama kwa baba?
unaweza ukawa wa kwanza kwa mama au kwa baba. Naomba ufafanuzi hapo mkuu
Mtoto hua ni wababa. Hata mwanamke akishazaa watoto kumi akiolewa tena mtoto atakayeza na mwanaume kama yule mwanaume hana mtoto wakizaa huyo mtoto atakau firstborn.

Firstborn ni mtoto wa kwanza kutoka maungoni kwa mwanaume
 
Ndio maana watoto wa kwanza wengi pia wanakuwa wanakufa wakiwa wachanga au watoto hasa wa kiume utasikia tu issue za kishirikina au sababu tu ambazo hazina maana..kumbe wanakuwa wamebeba funguo [emoji23] dah ila wako bright sana hata kama unakuta hawajasoma kiivo na ni majasiri kwa baadhi ya nnaowafaham.
 
Matambiko na mizimu ya ukoo hua inawawahi kuwaau. Unakuta koo fulani wana maagano kua mtoto wa kwanza ni mali ya mizimu.

Tuvunje maagano kwenye vizazi vyetu
 
Napenda sana pia ,solomoni mukubwa kauimba!
Ila jamani RC wana nyimbo nzuri basi tu
Akili nazo zilishindwa tukadhani hapo ni mwisho, Changamoto zilikua kubwa watu walishika vichwa wakijua hatutaoka kumbe tunaendela....haikua kazi rahisi kuvuka mitego ya mwovu ni Mungu tu amehusika mkono wake ametushikilia bado tunaendelea...tazama sasa tuna ushuhuda.

Tumesimama na shuhuda matendo makubwa ya Mungu aliyotenda maishani kwa ujasiri tunasema wanadamu walitUjeruhi Mungu akatuponya tazama sasa tuna ushuhuda.

Kumbe ni Mungu katenda, tumevuka salama tumeibeba bendera Ushindi tunatangaza kwa ujasiri, ni Mungu katenda🎶🎶
FB_IMG_16258204838177401.jpg
 
Mtoto hua ni wababa. Hata mwanamke akishazaa watoto kumi akiolewa tena mtoto atakayeza na mwanaume kama yule mwanaume hana mtoto wakizaa huyo mtoto atakau firstborn.

Firstborn ni mtoto wa kwanza kutoka maungoni kwa mwanaume
Na tumbo la mama pia Lina mzaliwa wa 1., Kufungua mimba! Iko pande zote .
 
Mkuu mada hii nimejenge hoja zake kwa misingi ya biblia, je unaweza kunipa miongozo ya kibiblia inayoonyesha mtoto hua anatoka kwa mama pia??
I know na niliisoma muda kidogo umepita!

Ila ipo kabisa kibiblia!
Ngoja nipate utulivu,nitarudi hapa!
Nitakuita , But ,naomba utafakari...
.... tofauti ya Isaka na Ismail,wote watt wa Ibrahim...
Ismail ndo mzaliwa wa kwanza kutoka kwenye viuno vya Ibrahim ,lkn Kwa Mungu Isaka ndo anatambulika km mzaliwa wa kwanza, na ndo alieyeendekeza kizazi ....
 
Nakusubiria nipate elimu mkuu..
Nawe tafakari lakini Mtoto wa ibrahim kutoka tumbo la sara ndie aliyeahidiwa na ndie alitakiwa kua Firstborn, huyu mwingine hakua kwenye mpango wa Mungu ila kwakua alitoka kwa ibrahim na alishaahidiwa baraka basi ikibadi nae mtoto azipate baraka
 
Uko sahihi, lilikuwa kusudi la Mungu.
Yes wote walibarikiwa, mmoja baraka nje ya agano na mwingine ndani ya agano...na hizi ni baraka mbili tofauti!
Lakini Hilo kusudi lisingetimia kupitia Kila tumbo tu!
Kusudi la Mungu haliondoi ukweli kuwa Ismail alikuwa ndo mzaliwa wa kwanza kutoka kwenye viuno vya Ibrahim kimwili!(nje ya Agano)
Tofauti ya Ismail na Isaka haiko Kwa Ibrahim(viuno) bali kwenye matumbo yaliyowazaa!
Hata matumbo yana wazaliwa wa 1 .....
Mfano , mwanaume alikotoka alioa na akawa na familia,watt...akaja kuoa Tena,akazaa watt kule,Kwa huyo mwanaume huyo mtt atakaemzaa huko hatakua mzaliwa wa kwanza,ila Kwa huyo mwanamke km ndo mwanae wa kwanza huyo kwenye Hilo tumbo ni mzaliwa wa kwanza....
Sijui km nimeeleweka...karibu ndugu

Natamani kuandika kitu kuhusu tumbo la uzazi la mwanamke kiroho,ila nitakua nje ya mada hapa.
 
Nimekuelewa mkuu, kwa maelezo yako hapo juu inaonyesha tumbo lililozaa ndio miliki ya mtoto. Je kwa uelewa wako kati ya baba na mama nani mmiliki halali wa mtoto? Nipe facts za kimaandiko na kisayansi pia kama utaweza

Don't jali mkuu, hapa hatuko kubishana wala kuonyesha nani anajua zaidi ya mwenzake. Tupo kufunzana na kuelekezana, we andika vile kadri ya ulivyofunuliwa/maarifa yako. Nipo hapa kujifunza toka kwako pia
 
Sawa ,najua tuko kuongeza maarifa, shukrani!
Nitarudi mkuu,haya si mambo ya kukurupuka
 
Nimekuelewa mkuu, kwa maelezo yako hapo juu inaonyesha tumbo lililozaa ndio miliki ya mtoto. Je kwa uelewa wako kati ya baba na mama nani mmiliki halali wa mtoto? Nipe facts za kimaandiko na kisayansi pia kama utaweza

Don't jali mkuu, hapa hatuko kubishana wala kuonyesha nani anajua zaidi ya mwenzake. Tupo kufunzana na kuelekezana, we andika vile kadri ya ulivyofunuliwa/maarifa yako. Nipo hapa kujifunza toka kwako pia
Kwa uelewa wangu ,mi naona wote wawili ni wamiliki halali!

Yaani nawaza namna ya kupost hili gazeti,ila utamisamehe tu ,we najua utalisoma tu...
Kibiblia

Biblia haijawahi kabisa kuainisha umiliki wa watoto kwa wazazi kwamba watoto ni miliki ya nani na kama iliwahi basi ni kisheria si ki Mungu yaani kwa Mungu hakuna umilikishaji wa mtoto kwa mzazi mmoja... Hiyo ni kwasababu

1. Mungu hajawahi taka mke na mume kuachana hivyo anachojua yeye kwamba ninyi si wawili ila ni mmoja yaani kwa Mungu anajua swala la mke na mume na hao ni mmoja si wawili hivyo watoto hapo si wawili ila ni wammoja ambaye ndiye ninyi.... Mungu hajawahi anzisha habari za mzazi mwenza au singo mama/baba sijui n.k hapo itahusika sheria si Mungu....

2. Mungu hajawahi kuumba mfumo wa mmoja kuzaa pekee bila kumtegemea mwenzake... Yaani ili mtoto azaliwe inawategemea wote wawili mbegu si mtoto ni mbegu tu wala yai si mtoto ni yai tu ila ukiviweka pamoja ndio mtoto anatengenezwa hivyo wote wawili kwa umoja wenu mna haki (si umiliki) juu ya mtoto...

3. Ki Mungu unaposema mtoto unamaanisha ni ile roho na sio mwili maana mtu ni roho kwa hiyo hapo utagundua kuwa hakuna mzazi anaye lweza kuwa na umiliki wa roho hapo tunasema mtoto kwasababu ni mtu na mtu ni roho basi mmiliki wa huyo ni Mungu hakuna mtu awezaye kumiliki mtu ila wazazi wamepewa dhamana tu ya kuhudumia mwili ambao mwili huo umetengenezwa ki bailojia kwa nguvu za asili tu alizoweka Mungu mwenyewe....

Ki sayansi utagundua kuwa umiliki wa mtoto ni kupitia DNA na baba na mama na mtoto wote wa DNA zinazofanana hivyo wote ni wamiliki ila kwenye nani amiliki pekeyake hapo itakuja sheria sasa.

Nyakati za Biblia lazima tu kulikuwa na sheria ambazo si za kimungu ni za utawala/serikali zilizoweka mgawanyo wa umiliki wa watoto ikiwa baba na mama wameachana ingawa zinaweza zikawa hazijaandikwa...

Ila kwasasa hatuwezi kuzitumia sheria hizo kwakuwa hazikuwa za Mungu na kwasababu pia kwasasa tupo kwenye serikali ambayo nayo ina sheria zake juu ya umiliki wa watoto ikiwa mmeachana...

Ukitaka kwenda Kimungu juu ya umiliki wa mtoto baki hapa na ujue hili kwamba....
WEWE NA MKEO/MUMEO NI MMOJA NA KWAPAMOJA KAMA MMOJA MMEPEWA DHAMANA NA MUNGU YA KUMTUNZA TU NA MSIACHANE NA IKITOKEA MMEACHANA MJUE MMEMUUDHI MUNGU ILA MTOTO MMEPEWA JUKUMU LA KUMTUNZA WOTE KWA UMOJA....
 
Kwa uelewa wangu.....

Mkuu
Naomba nijuze kwanini biblia mara nyingi imekua ikionyesha mali amazomiliki mtu watoto na wake zake huhesabiwa?
Refer Story ya Jacob,Daud,Ibrahim,Ruth nk.

Lakini kama mtoto ni wa wote kwanini mtoto achukue jina la Baba pekee kwanini ubin wa mama usiwekwe??
3. Ki Mungu unaposema mtoto unamaanisha ni ile roho na sio mwili maana mtu ni roho kwa hiyo hapo utagundua kuwa hakuna mzazi anaye lweza kuwa na umiliki wa roho hapo tunasema mtoto kwasababu ni mtu na mtu ni roho basi mmiliki wa huyo ni Mungu hakuna mtu awezaye kumiliki mtu ila wazazi wamepewa dhamana tu ya kuhudumia mwili ambao mwili huo umetengenezwa ki bailojia kwa nguvu za asili tu alizoweka Mungu mwenyewe....

Ki sayansi utagundua kuwa umiliki wa mtoto ni kupitia DNA na baba na mama na mtoto wote wa DNA zinazofanana hivyo wote ni wamiliki ila kwenye nani amiliki pekeyake hapo itakuja sheria sasa.

Nyakati za Biblia lazima tu kulikuwa na sheria ambazo si za kimungu ni za utawala/serikali zilizoweka mgawanyo wa umiliki wa watoto ikiwa baba na mama wameachana ingawa zinaweza zikawa hazijaandikwa...

Ila kwasasa hatuwezi kuzitumia sheria hizo kwakuwa hazikuwa za Mungu na kwasababu pia kwasasa tupo kwenye serikali ambayo nayo ina sheria zake juu ya umiliki wa watoto ikiwa mmeachana...

Ukitaka kwenda Kimungu juu ya umiliki wa mtoto baki hapa na ujue hili kwamba....
WEWE NA MKEO/MUMEO NI MMOJA NA KWAPAMOJA KAMA MMOJA MMEPEWA DHAMANA NA MUNGU YA KUMTUNZA TU NA MSIACHANE NA IKITOKEA MMEACHANA MJUE MMEMUUDHI MUNGU ILA MTOTO MMEPEWA JUKUMU LA KUMTUNZA WOTE KWA UMOJA....
Ahsante kwa gazeti lenye maudhui anauai..mkuu Tayana!
 
Mtu akitaka kukuharibia familia yako anaanza na mtoto wa kwanza. Mtoto wa kwanza akitetereka mdogo wake au wadogo zake wanaofuatia wanakuwa na kazi ya ziada sana.
 
Back
Top Bottom