Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaume, nilisikia kwa wenzetu waislam watoto walioshea baba (waliotoka kwenye kiuno kimoja) ila mama tofauti wanaweza kuoana ila watoto walioshea mama (waliotoka kwenye tumbo moja) ila baba tofauti kamwe hawawezi kuoana, sijui kama lina ukweli hili ila kama ni kweli basi hii inaonesha jinsi gani tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaumeNimekuelewa mkuu, kwa maelezo yako hapo juu inaonyesha tumbo lililozaa ndio miliki ya mtoto. Je kwa uelewa wako kati ya baba na mama nani mmiliki halali wa mtoto? Nipe facts za kimaandiko na kisayansi pia kama utaweza
Don't jali mkuu, hapa hatuko kubishana wala kuonyesha nani anajua zaidi ya mwenzake. Tupo kufunzana na kuelekezana, we andika vile kadri ya ulivyofunuliwa/maarifa yako. Nipo hapa kujifunza toka kwako pia