Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Nimekuelewa mkuu, kwa maelezo yako hapo juu inaonyesha tumbo lililozaa ndio miliki ya mtoto. Je kwa uelewa wako kati ya baba na mama nani mmiliki halali wa mtoto? Nipe facts za kimaandiko na kisayansi pia kama utaweza

Don't jali mkuu, hapa hatuko kubishana wala kuonyesha nani anajua zaidi ya mwenzake. Tupo kufunzana na kuelekezana, we andika vile kadri ya ulivyofunuliwa/maarifa yako. Nipo hapa kujifunza toka kwako pia
Mkuu tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaume, nilisikia kwa wenzetu waislam watoto walioshea baba (waliotoka kwenye kiuno kimoja) ila mama tofauti wanaweza kuoana ila watoto walioshea mama (waliotoka kwenye tumbo moja) ila baba tofauti kamwe hawawezi kuoana, sijui kama lina ukweli hili ila kama ni kweli basi hii inaonesha jinsi gani tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaume
 
Mkuu
Naomba nijuze kwanini biblia mara nyingi imekua ikionyesha mali amazomiliki mtu watoto na wake zake huhesabiwa?
Refer Story ya Jacob,Daud,Ibrahim,Ruth nk.

Lakini kama mtoto ni wa wote kwanini mtoto achukue jina la Baba pekee kwanini ubin wa mama usiwekwe??

Ahsante kwa gazeti lenye maudhui anauai..mkuu Tayana!
Na kweli gazeti, 😬 nisamehe tu.
Tuko pamoja!🙏

Sawa nitarudi,acha nimalize huduma mpendwa ktk kristo!
 
As if ulikua unanisema Mimi,wa kwanza Kwa baba na mama...Yaani ni Lango kabisaa
Mengi umeongea ukweli mtupu
Pole sana bibie
Je kuna chochote ulichoexperience as a first born ambacho ungependa kushea nasi kama hutajali??
Tujifunze
 
Na kweli gazeti, 😬 nisamehe tu.
Tuko pamoja!🙏

Sawa nitarudi,acha nimalize huduma mpendwa ktk kristo!
Ooh dear don't be sorry, napenda sana kusoma vitu. Usiache kushea vitu nami kwa kuhofia ni virefu...Sidhani kama utapost gazet kubwa kuliko mfululizo wa vitabu vya high fantasy kama Ice of song and fire
 
Mkuu tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaume, nilisikia kwa wenzetu waislam watoto walioshea baba (waliotoka kwenye kiuno kimoja) ila mama tofauti wanaweza kuoana ila watoto walioshea mama (waliotoka kwenye tumbo moja) ila baba tofauti kamwe hawawezi kuoana, sijui kama lina ukweli hili ila kama ni kweli basi hii inaonesha jinsi gani tumbo la mwanamke lina nguvu kuliko kiuno cha mwanaume
Kuna ukweli kiasi maana incest relationship ya kaka na dada mara nyingi hutokea kwa ndugu wasiochangia damu. Hii ni kwakua mtoto uliyezaliwa tumbo nae moja atakua unamuona au utakua anakuona ila kwa mama mwingine kila mtu anakua kwa mama yake, hakuna ule uzito labda wote wakulie sehemu moja. Lakini hiyo ni perception tu yetu wanadamu. Na sio fact inayofanya mama awe na nguvu za kumiliki mtoto kuliko baba (kiuno vs tumbo)
 
Ukiitwa kaka (kama mzaliwa wa kwanza) au dada (kama mzaliwa wa kwanza)[emoji1487].
Labda kwenu uwe pekee yako na misingi ya wazazi huenda ukabebeka.

Mimi mzaliwa wa kwanza kwa baba na mama. Ki ukweli i don’t know who am i, i do feel myself, i don feel like i am normal human being. But atleast naanza kuyaona mambo kwa utofauti kiasi nimeanza kuona hali hii sio ya kawaida hata kidogo.

Chochote nachokifanya huishia njiani na kama kikifanikiwa kuendelea basi kitapata hasara na kinitie hasara pia.

I feel like kuendelea kusoma but i dont why which i might fit. Nataka ni enjoy nachokisomea not because of ajira ila kuongeza uelewa mpana na kukidhi mifumo ya kidunia kwenye nyanja za maisha.

Ohh Lord help your Son THE MONA.[emoji1431]
 
I wish I could take your pain away, but if you go through night there's a bright day. Everything gonna be fine if you hold on, it's struggle everyday you gotta roll on.

You're not alone Sir, The Mona

Je mimi kwa baba wa kwanza na kwa mama wa pili. Nipo kwenye kundi gani.
 
I wish I could take your pain away, but if you go through night there's a bright day. Everything gonna be fine if you hold on, it's struggle everyday you gotta roll on.

You're not alone Sir, The Mona

Thank you for these courageous words.
I wish i could have met my fellow.
 
Sir please don't talk fown to yourself. You're a God best and masterpiece creation. You're more valuable than an angel!

Waoohh..!! Let me feel it let me live this.
Thank you universal mate
 
Back
Top Bottom