Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani nilipoteašMpaka leo badoš¢
Na ss Niko safari ,sijatulia
Ila vumiliaš¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nilipoteašMpaka leo badoš¢
NimechekaSawa pisikali haina shida nitavumilia
Aah najua ni jokes tuI'm sorry,so sorry. I slipped
Mnajidanganya...mtoto wa kwanza ni yule ambaye MUNGU amemchagua na sio wa kwanza kuzaliwa..
Ukisoma kwenye Biblia Esau ndio mtoto wa kwanza lakini baraka zilienda kwa Yakobo
Ukisoma Yusufu alikuwa mtoto wa mwisho ila baraka zilienda kwake...
Kuna mzaliwa wa kwanza kikwili na kuna mzaliwa wa kwanza ki Roho.Huenda kuna sababu mpaka baraka ziende kwa mwingine na sio kwa wa kwanza.
Pigo walilopata wamisri kwa wazaliwa wao wa kwanza je kuna lilimruka wa kwanza na kuondolewa badala ya wa kwanza.
Sipo vizuri kwenye bible ila kwa hapo juu unaweza kupata picha mzaliwa wa kwanza ni nani.
Uzao, uzaaji, uzaliwa.
Once ni mzaliwa wa kwanza maana yake ni mtu wa kwanza kuzaliwa kibayolojia.
Kisa cha Essu unaona Yakobo aliiba baraka kwa hila.
Uzaliwa wa 1 kama lango uko wa aina 4 kibiblia.Mnajidanganya...mtoto wa kwanza ni yule ambaye MUNGU amemchagua na sio wa kwanza kuzaliwa..
Ukisoma kwenye Biblia Esau ndio mtoto wa kwanza lakini baraka zilienda kwa Yakobo
Ukisoma Yusufu alikuwa mtoto wa mwisho ila baraka zilienda kwake...
Niambie hizo 3 ni zipiUzaklwa wa 1 kama lango uko wa aina 4 kibiblia.
Sasa ww unaongelea wa aina Moja
Hata mada imeongelea aina Moja...
Kuna mzaliwa wa 1 "kicheo"Niambie hizo 3 ni zipi
3 Months ago...Kuna mzaliwa wa 1 "kicheo"
Mzaliwa wa 1 Kwa "haki"
Mzaliwa wa kwanza Kwa "kuchaguliwa" na Mungu
Na Kuna mzaliwa wa kwanza 'kiimani'.
Ngoja nitakuja na reference ya kibiblia,hapa nilipo Sina makabrasha...
Ila Kwa ufupi....
Mzaliwa wa 1 kicheo ni yyt wa Kwanza kuzaliwa kimwili kabisa kwenye tumbo/kiuno.
Ila huyu wa kiimani, ni yule wa kwanza kupata Neema ya wokovu kwenye familia!
Ni lango huyu kiimani.....
Anaechaguliwa na Mungu, soma kesi ya Reuben hapo kitabu cha mwanzo....
Nitakuja na reference kuelezea vzr na huyu wa 'haki" nisije lisha matango pori bure
Yaani nimecheka mnooo nilipoona umeni-quote3 Months ago...
Kigoma na shinyanga mpo sehem gani? Vipi arusha mtakuwepo lini nami nihudhurie?Yaani nimecheka mnooo nilipoona umeni-quote
Ila nisamehe mkuu
Nilisahau pia pamoja na majukumu!
Jmn ngoja nimalize semina,nitarudi
Kigoma now, tunamalizia
Then shinyanga,Mwanza,mbeya ,Iringa.....
U can imagine
Ngoja nichek viwanja nitakwambia!Kigoma na shinyanga mpo sehem gani? Vipi arusha mtakuwepo lini nami nihudhurie?
Aisee mnatembea tu mikoa aise. Namimi ngoja niwe mlokole niwe nakufuatašNgoja nichek viwanja nitakwambia!
Lkn pia sshv zinakua live hata kwenye redio, upendo tv,you tube....sio km zamani.
Kwa sshv ratiba iliyopo ndo hiyo!
Sijajua baada ya hapo,km atatangaza, I ll let u know!
Ila Arusha Huwa inakuwa ya kwanza unajua, January!
Zamani ilikuwa Arusha na Dar ,semina mara 2 Kwa mwaka sshv mambo yamebadirika sn sbb semina zimeongezeka,makongamano ya Kanda nchi nzima ,nk....ndo maana hata mikoa haipati semina km zamani Ile ya Kila mwaka!
Kwa mfano kigoma imepita 4 yrs ndo wamepata this yr!
Ila Arusha lazima Huwa hawakosi January
Kutembea hakuhusiani na ulokoleAisee mnatembea tu mikoa aise. Namimi ngoja niwe mlokole niwe nakufuataš
Nasubiri ratiba hiyo japp niwafuatilie upendo tv
HatariiiiNoma mzee kuwa mtoto wa kwanza afu huna kitu lazima usalee