Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike

Mnajidanganya...mtoto wa kwanza ni yule ambaye MUNGU amemchagua na sio wa kwanza kuzaliwa..

Ukisoma kwenye Biblia Esau ndio mtoto wa kwanza lakini baraka zilienda kwa Yakobo

Ukisoma Yusufu alikuwa mtoto wa mwisho ila baraka zilienda kwake...
 
Huenda kuna sababu mpaka baraka ziende kwa mwingine na sio kwa wa kwanza.

Pigo walilopata wamisri kwa wazaliwa wao wa kwanza je kuna lilimruka wa kwanza na kuondolewa badala ya wa kwanza.

Sipo vizuri kwenye bible ila kwa hapo juu unaweza kupata picha mzaliwa wa kwanza ni nani.

Uzao, uzaaji, uzaliwa.

Once ni mzaliwa wa kwanza maana yake ni mtu wa kwanza kuzaliwa kibayolojia.
Kisa cha Essu unaona Yakobo aliiba baraka kwa hila.
 
Kuna mzaliwa wa kwanza kikwili na kuna mzaliwa wa kwanza ki Roho.

Mzaliwa wa kwanza kiroho ni yule aliye kwenye Agano na Mungu, kwa kuzaliwa mara ya pili yaani kuokoka

Yeyote aliyempokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake amehesabiwa haki Bure.

Naye hupewa nafasi ya mzaliwa wa kwanza hata kama kwenye familia alizaliwa wa mwisho lakini ki Roho ni mzaliwa wa kwanza.

Huyo mzaliwa wa kwanza kiroho ndio Mungu humtumia kusema nae katika familia kufanya maamuzi, Kiongozi...

Hii imefanya wazaliwa wa kwanza kujisahau sana kwa kudhani kuzaliwa kimwili tayari wao wamebarikiwa sana

Ndio maana nikatolea mfano wa Esau na Yusufu, ukisoma Esau alijisahau maana alijua ni wa kwanza akauza haki yake

Yusufu nae alikuwa na Agano la Mungu ndio maana alikuwa muota ndoto zenye magizo ya Mungu, nduguze walimbeza kwakuwa alikuwa wa mwisho
 
Mnajidanganya...mtoto wa kwanza ni yule ambaye MUNGU amemchagua na sio wa kwanza kuzaliwa..

Ukisoma kwenye Biblia Esau ndio mtoto wa kwanza lakini baraka zilienda kwa Yakobo

Ukisoma Yusufu alikuwa mtoto wa mwisho ila baraka zilienda kwake...
Uzaliwa wa 1 kama lango uko wa aina 4 kibiblia.
Sasa ww unaongelea wa aina Moja
Hata mada imeongelea aina Moja...
 
Niambie hizo 3 ni zipi
Kuna mzaliwa wa 1 "kicheo"
Mzaliwa wa 1 Kwa "haki"
Mzaliwa wa kwanza Kwa "kuchaguliwa" na Mungu
Na Kuna mzaliwa wa kwanza 'kiimani'.
Ngoja nitakuja na reference ya kibiblia,hapa nilipo Sina makabrasha...
Ila Kwa ufupi....
Mzaliwa wa 1 kicheo ni yyt wa Kwanza kuzaliwa kimwili kabisa kwenye tumbo/kiuno.

Ila huyu wa kiimani, ni yule wa kwanza kupata Neema ya wokovu kwenye familia!
Ni lango huyu kiimani.....

Anaechaguliwa na Mungu, soma kesi ya Reuben hapo kitabu cha mwanzo....

Nitakuja na reference kuelezea vzr na huyu wa 'haki" nisije lisha matango pori bure
 
3 Months ago...
 
3 Months ago...
Yaani nimecheka mnooo nilipoona umeni-quote
Ila nisamehe mkuu

Nilisahau pia pamoja na majukumu!
Jmn ngoja nimalize semina,nitarudi
Kigoma now, tunamalizia
Then shinyanga,Mwanza,mbeya ,Iringa.....
U can imagine
 
Kigoma na shinyanga mpo sehem gani? Vipi arusha mtakuwepo lini nami nihudhurie?
 
Ngoja nichek viwanja nitakwambia!
Lkn pia sshv zinakua live hata kwenye redio, upendo tv,you tube....sio km zamani.

Kwa sshv ratiba iliyopo ndo hiyo!
Sijajua baada ya hapo,km atatangaza, I ll let u know!

Ila Arusha Huwa inakuwa ya kwanza unajua, January!
Zamani ilikuwa Arusha na Dar ,semina mara 2 Kwa mwaka sshv mambo yamebadirika sn sbb semina zimeongezeka,makongamano ya Kanda nchi nzima ,nk....ndo maana hata mikoa haipati semina km zamani Ile ya Kila mwaka!

Kwa mfano kigoma imepita 4 yrs ndo wamepata this yr!
Ila Arusha lazima Huwa hawakosi January
 
Aisee mnatembea tu mikoa aise. Namimi ngoja niwe mlokole niwe nakufuatašŸ˜…
Nasubiri ratiba hiyo japp niwafuatilie upendo tv
 
Noma mzee kuwa mtoto wa kwanza afu huna kitu lazima usalee
 
Aisee mnatembea tu mikoa aise. Namimi ngoja niwe mlokole niwe nakufuatašŸ˜…
Nasubiri ratiba hiyo japp niwafuatilie upendo tv
Kutembea hakuhusiani na ulokole
The issue is, huduma uliyoitiwa na maelekezo yake Mungu anataka uifanyaje!
Btw si wengine wahudumu tu ,ila mbeba maono ndo maelekezo yake hayo!
Hakuitwa kufungua kanisa

Yes Anza kufuatilia utajifunza mengi.
 
Back
Top Bottom