Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

Wacha wajichotee mbona kina HALIMA Mdee na GENGE lake Wanaiba Mishahara?
 

Watu wanalinganisha ukimya wa kuripoti matukio na matumizi mazuri ya fedha ambayo siyo sahihi.
 
VOTE ya ikulu ni kichaka haikaguliwi mzee, huko ndiyo wanakopigia pesa

Unafikiri mkwere kile kijiji alichojenga kwao Msoga kilitokana na mshahara wake? Hiyo VOTE ya ikulu Ndio kichaka chenyewe na Ndio maana MNIKULU mara zote anakuwa mtu wa karibu sana/ ndugu wa Rais!!! Mkwere alikuwa na binamu yake!!!!
 
Wacha wajichotee mbona kina HALIMA Mdee na GENGE lake Wanaiba Mishahara?
Hao waache na sarakasi zao. Hainisaidii maana hata ruzuku za vyama sihitaji kujua matumizi yao. Ni bure tu!
 
Kama waziri anasema wameanza tarehe 30 march basi wamekua rais tuliyenae ni DHAIFU
 
Mama na soft language, watu wanajichotea mahela tu.
 
Kipindi cha JK watu walitafsiri vibaya Slogan ya Maishabora Kila Mtanzania.Watu walitafuta Maisha bora kwa njia ovu alimradi tuu wawe na maishabora na wala hawakukemewa kwa vitendo.Kipindi cha awamu ya Tano chini ya Jembe letu JPM hayat,walidhan business as usual.Mfano majambazi walipora pesa wakati wanakimbia walishout Hapa Kazi Tuu .Weeeh ujambaz ukabaki historia kwan walikemewa kimyakimya .Sasa Slogan ya Kazi Iendelee watu waelimishwe kwa vitendo wasije wakadhan wameambiwa sasa ufisad uendelee.
Mama na soft language, watu wanajichotea mahela tu.
 
Wewe una ushahidi wowote kuhusu hilo au unaamini ngonjera za Kigogo? Unaweza kushangaa muda mfupi tu baada ya Dotto James kuhamishwa wizara tunaanza kuona madudu ndani ya wizara kuhusu ufujaji wa fedha.
 

Tafuta reports za CAG Prof Assad enzi za Kikwete uone ubadhirifu ulivyokuwa unaanikwa

Na reports za Assad enzi za Kikwete ndio zilipelekea alipoingia Jpm madarakani akaanza kupiga kwenye angle ya watumishi hewa maana Assad alianika upotevu wa takribani 3bl kwa mwaka

Uzuri wa Kikwete aliacha taasisi kama hizi ziwe huru, ndio maana ikamuwia rahisi Jpm kujua aanze kudili na angle zipi zenye ufisadi na upotevu wa kodi zetu wananchi
 
Rais SSH yuko vizuri. Yeye kaibiwa na kagundua kabla hata ya CAG kukagua mahesabu. Kuibiwa huwezi kuzuia bali kutambua wizi ndiyo akili

Lakini huyo Mwendazake wenu alikuwa anaiba yeye na genge lake halafu CAG akihoji anamfukuza kazi.

Sukuma Gang, mtahangaika sana kutafuta kasoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…