Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
sawa umesikika vizuriMaza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa umesikika vizuriMaza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Tatizo lako unazomea wanaojadili badala ya kujadili na kujiuliza kwa nini watu hawa hawakuogopa rais mpya. Uonavyo ulichoandika kinakupa nafuu yoyote?Rais SSH yuko vizuri. Yeye kaibiwa na kagundua kabla hata ya CAG kukagua mahesabu. Kuibiwa huwezi kuzuia bali kutambua wizi ndiyo akili
Lakini huyo Mwendazake wenu alikuwa anaiba yeye na genge lake halafu CAG akihoji anamfukuza kazi.
Sukuma Gang, mtajangaika sana kutafuta kasoro
sasa pesa haichiwi hivyo mkuu, huo ni uchumi wawapi umesoma mkuu.Kumbuka tumesha kubaliana tuachie pesa ije mtaani,saa hizi kuna wengine wamepata bahati huko mtaani Mzigo wa Wizara ya fedha nao umewafikia! Kama kuna mafundi Ujenzi au mafundi Magari saa hizi nao wanawapiga pesa Watumishi wezi wa fedha za Umma!!
Kwani mkuu lini wizi uliisha?kama ungekuwa umekwisha ripoti ya CAG, isingekuwa vile ilivyo kwa 2019/2020!sema tu ilikuwa ni marufuku kuu ripoti, kwa kumuogopa jiwe, hivyo watu wakaaminishwa kuwa hakukuwa na pesa ya serikali iliyoibiwa!!sasa awamu ya sita inaamini ktk uwazi ndio maana mtaanza kusema hivyo kuwa hawamuogopi kumbe ni uwazi ambao jiwe hakuupenda!!kinachotakiwa hao wabadhirifu ikibainika kweli wamekula pesa ni adhabu kali sana wapewe.Tena hakuna kipindi ambacho pesa imeliwa kama cha awamu ya tano kwa taarifa yako.yaani ingetokea ikafanyika special audit ya miaka 5, iliyopita watu watazimia kwa kutoamini ubadhirifu mkubwa wa pesa.
Hao waache na sarakasi zao. Hainisaidii maana hata ruzuku za vyama sihitaji kujua matumizi yao. Ni bure tu!
Hivi mulitaka huyu Rais alipoingia madarakani tu afukuze wafanyakazi hata bila ya ushahidi? Jamani hamuwachi nyinyi!Kama waziri anasema wameanza tarehe 30 march basi wamekua rais tuliyenae ni DHAIFU
Huyo waziri Mkuu anadhani sisi ni wajinga, ripoti ya BoT ya januari to March mbona mama haiweki hadharani, tujue uadilifu wa hapo kabla? Maana ile 1.5t tulipigwa hivi hivi.Kama waziri anasema wameanza tarehe 30 march basi wamekua rais tuliyenae ni DHAIFU
Kweli kabisa magufuli aliingia mkenge kumpa huyu mama umakamo wa rais, nadhani ni kutaka kufurahisha watu kwa kigezo eti usawa wa kijinsia lakini ukweli ni kwamba huyu mama hakufaa, haendani kabisa na Ile kasi tuliyokua tumeizoea ya magufuli ..Majaliwa au hussein mwinyi, huyu mama anatupotez
Kama akili yako ni finyu sina msaada, hicho nacho ni kilema. Nimeandika kitu kiko wazi wala siyo tafsidaTatizo lako unazomea wanaojadili badala ya kujadili na kujiuliza kwa nini watu hawa hawakuogopa rais mpya. Uonavyo ulichoandika kinakupa nafuu yoyote?
Mimi kwenye wizi wa fedha za serikali na mali ya umma sitakuwa mpole(sauti ya aliyekuwa mwenye wizara..)Hii ofisi nayo kama iko kisiasa zaidi huwa inamfavor yule aliyemweka madarakani na mara nyingi sio wakweli!
na katika hili hata Professor Assad aliingia mtego huu wakati wa Kikwete hakuzungumza mabaya awamu ya tano akayaona mabaya.
huyu mwingine woga wa kukosa kazi na tamaduni za kujikombakomba zinafanya pia aponde kila kitu.
njaa bado ni tatizo kwa taaluma zetu!
Nyumbu wa saccos utawajua tu.Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
wezi utawajua tu.wale kwa urefu wa kamba zao hao wahuni wanatakiwa kurudisha fedha hizo mara moja hawa wahuni wanaoshabikia kitendo hiki nao waache mara moja.Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Umesema kweli kabisa, kwanza kufanya uchaguzi tunaongeza gharama tuu.Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Hoja za kipuuzi kabisa, endeleeni kucheka na kima. Safari hii majizi ndio yatashamiri kila kona.Rais SSH yuko vizuri. Yeye kaibiwa na kagundua kabla hata ya CAG kukagua mahesabu. Kuibiwa huwezi kuzuia bali kutambua wizi ndiyo akili
Lakini huyo Mwendazake wenu alikuwa anaiba yeye na genge lake halafu CAG akihoji anamfukuza kazi.
Sukuma Gang, mtahangaika sana kutafuta kasoro
Nakumbuka kwenye ishu kama hio, huo sio uongeaji wake kabisaaa.Ndio kusema PM anaongea na suspect...
Kinachofurahisha zaidi, ni wale wenye smart phone na pesa ya bando tu ndo wanamsifia mama ukiacha wanasiasa version TZ.Hoja za kipuuzi kabisa, endeleeni kucheka na kima. Safari hii majizi ndio yatashamiri kila kona.
Katibu ni nani?Katibu mkuu wa wizara anatakiwa kupanda kwa succession planning kama ilivyokuwa kwa Dr Gwajima (yeye alitakiwa kuwa katibu mkuu au waziri) huo ndio utaratibu duniani.
Unapomtoa kutoka kwenye work floor na kumpandisha vyeo taratibu kila hatua unampa training ya kupata skills sahihi za nafasi yake. Na kwenda juu kila unapofikiria kusogeza watu unafikiria na uwezo wao ikibidi tafuta na manuscripts za matokeo yao tangia primary skills.
Ndio maana mtu kama Dr Gwajima anaijuwa wizara ya afya kinaga ubaga, kwanza ni daktari, pili ame practice, tatu amekuwa trainer on management at hospital level, amekuwa DMO anajua kusimamia policy, akapelekwa wizarani kashika nafasi kadhaa za policy advisor na kupanda hadi kuwa mkurugenzi wa tiba i.e chief policy advisor.
Ukishatengenezwa kwa mtindo huo na performance appraisal yako inaridhisha nchi za wenzetu ndio unafikiriwa kuwa katibu mkuu wa wizara au hata katibu mkuu kiongozi, hawa ndio watu wanaoongoza nchi technically. Ndio maana Dr Gwajima uwezi kumuongopea wizara ya afya yaani yule ananyuti tu kwa sababu hampo tayari kwa manadiliko.
Katibu mkuu wizara ya fedha hana ufahamu wa kusimamia ile wizara atachezewa tu, kigezo sio kuwa economist tu; experience ya kufanya kazi serikalini also matters a lot.
Mama Samia amuangalie katibu mkuu kiongozi wake ni bomu, hana uwezo katika nafasi ya kumshauri.