Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Nimeongelea katibu mkuu, sina muda wa kujibu ujinga pls.Katibu ni nani?
Kwanza hata unajua majukumu yake? Unaweza idhinisha matumizi ya fedha bila ya kumtaarifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeongelea katibu mkuu, sina muda wa kujibu ujinga pls.Katibu ni nani?
Duuh! Sijakuuliza ili unipe definition au unifundishe maana ya ukatibu mkuu. Nilimaanisha anaitwa nani, ni kweli simjui na nilidhani pengine ungenitajia nami ningepata mwangaza.Nimeongelea katibu mkuu, sina muda wa kujibu ujinga pls.
Kwanza hata unajua majukumu yake? Unaweza idhinisha matumizi ya fedha bila ya kumtaarifu?
tatizo kwenye nambo ya nsingi watubwanaleta ushabiki kama wa simba na yangaHoja za kipuuzi kabisa, endeleeni kucheka na kima. Safari hii majizi ndio yatashamiri kila kona.
My bad 🙏🙏🙏Duuh! Sijakuuliza ili unipe definition au unifundishe maana ya ukatibu mkuu. Nilimaanisha anaitwa nani, ni kweli simjui na nilidhani pengine ungenitajia nami ningepata mwangaza.
Polee kwa kuchakata vibaya swali langu, na kama walivyo waTz wengi, huwa nasikia tu Katibu mkuu ila sijui lolote kuhusu kazi zake. Asante.
EEeenHeee!Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
kama atacheka na huu upuuzi aondoke hata keshoMaza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
we mbwa unajua Prof Asad alianza ukaguzi mwaka gani na riport yake ya kwanza ilikuwaje? you better shut-up.Hii ofisi nayo kama iko kisiasa zaidi huwa inamfavor yule aliyemweka madarakani na mara nyingi sio wakweli!
na katika hili hata Professor Assad aliingia mtego huu wakati wa Kikwete hakuzungumza mabaya awamu ya tano akayaona mabaya.
huyu mwingine woga wa kukosa kazi na tamaduni za kujikombakomba zinafanya pia aponde kila kitu.
njaa bado ni tatizo kwa taaluma zetu!
Ikija mtaani utakuwa unaokota barabarani?Kumbuka tumesha kubaliana tuachie pesa ije mtaani,saa hizi kuna wengine wamepata bahati huko mtaani Mzigo wa Wizara ya fedha nao umewafikia! Kama kuna mafundi Ujenzi au mafundi Magari saa hizi nao wanawapiga pesa Watumishi wezi wa fedha za Umma!!
Watu wote humu wakiwa na akili zako hakutakuwa na nchi ndani ya mwezi mmoja. Fisadi mkubwa we.Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Si mlikua mnasema Magu anabana sana hadi mtaani hakuna pesa! Sasa Mama Kesha fungua Nchi kuleni mnavyotaka yetu macho na masikio tu!!sasa pesa haichiwi hivyo mkuu, huo ni uchumi wawapi umesoma mkuu.
Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi.
Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa mazao huanza kuliwa.
Tumeanza kuona wizi na ulaji wa hovyo. Tena ndani ya wizara mama yenye kushikilia hazina ya taifa na nchi. Wizara ya Fedha wanaanza kuiokomba nchi kweupeee! Hisia yangu hawa ni nyani waliogundua kwamba hatuna tena mlinzi wa fedha ya umma. Rais wetu utajua mwenyewe! Kama nawe una maneno yale ya kusema nchi hii utaiacha kama alivyoiacha Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli. Aliyesema simtaji.
Wewe kweli chiziMaza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Acha kumsifia uyo mtu aliyeacha mianya Mingi ya upigaji,unyanyasaji watu WA Hali ya chini walinyanywaswa kila KonaTafuta reports za CAG Prof Assad enzi za Kikwete uone ubadhirifu ulivyokuwa unaanikwa
Na reports za Assad enzi za Kikwete ndio zilipelekea alipoingia Jpm madarakani akaanza kupiga kwenye angle ya watumishi hewa maana Assad alianika upotevu wa takribani 3bl kwa mwaka
Uzuri wa Kikwete aliacha taasisi kama hizi ziwe huru, ndio maana ikamuwia rahisi Jpm kujua aanze kudili na angle zipi zenye ufisadi na upotevu wa kodi zetu wananchi
Kichwa maji weweRais SSH yuko vizuri. Yeye kaibiwa na kagundua kabla hata ya CAG kukagua mahesabu. Kuibiwa huwezi kuzuia bali kutambua wizi ndiyo akili
Lakini huyo Mwendazake wenu alikuwa anaiba yeye na genge lake halafu CAG akihoji anamfukuza kazi.
Sukuma Gang, mtahangaika sana kutafuta kasoro
Wee Kama sio mjinga si ukamuulize aliyeiunda , majaaliwa ndo ameiiunda yeye anafanya yaliyondani yakeHuyo waziri Mkuu anadhani sisi ni wajinga, ripoti ya BoT ya januari to March mbona mama haiweki hadharani, tujue uadilifu wa hapo kabla? Maana ile 1.5t tulipigwa hivi hivi.