Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

Wabunge,mawaziri,na wakuu wa vitengo Kama wakuu wa wilaya na mikoa ndo waliokuwa na furaha zaidi kipindi hicho ila sio sisi..
 
Wako jela kwa mchongo wa mkwere!!! Yeye yuko Msoga anafuga punda!!!

Huyu mkwere kama ana akili afanye kama alivyofanya Moi, akili madhambi yeke na aombe msamaha hadharani kwa wote aliowakwaza!! Ingawa wanaomsema kafa kafa wanamchulia lakini ni ukweli mtupu kuwa sasa umri umemtupa mkono na wenzie wakina Abdalla Kigoda, Gen. Makame, Jaka Mwambi, Azan Aljabri, Costa Urban Ndunguru, Ditopile na wengine wengi wa rika lake wametangulia mbele ya haki hivyo na yeye pia ajue ni karibu anakokwenda kuliko alikotoka!!!
You will be well advised to make peace with all your remaining enemies lest it is too late!!!
He has a special mentality. Anaonekana ni mtu mwenye kuamini kuwa anastahili kuongoza milele yote.

Kuna watu waliompenda sana JPM kwa sasa wanamchuria Mkwere wakiamini kuwa anahusika na kuondoka kwake duniani.

Ukiwa mzee wa miaka 70 halafu nafsi yako inasakamwa sio suala zuri kwa watu wako wa karibu. Hata kama na wao ni wanasiasa.
 
Kuna watu waliompenda sana JPM kwa sasa wanamchuria Mkwere wakiamini kuwa anahusika na kuondoka kwake duniani.

Hao ndio wale wanaohoji kuwa it cannot be a coincidence kuwa Mkapa na Magufuli wakaondoka kwa kuongozana namna hiyo lazima kuna mikono ya watu; hasa wale waliokosa kumsimika mtu wao 2015 na Magufuli kupenyeza!!
 
Kupitia post hii,naanza kuiamini dhanaDhahania yangu ... kuwa kufichuliwa kwa posho zile sio kwa bahati mbaya hata kidogo!! Mama kazi unayo!
 
Tusubiri maelezo ya ziada kutoka kwa waziri wa fedha!
=====
Ila facial expressions za wafanyakazi hawa wizara ya fedha wakati Waziri Mkuu anazungumza zinaeleza mambo mengi sana, baadhi kind of guilty, kiburi, fedhea, nakadhalika.
 
RIP JPM,,ungefukuza wote hapo. Nimekumiss BABA.
Sio kuwafukuza TU bali hizo pesa zingetokea nje kupitia tundu lolote kwenye miili yao....asset zao zingekuwa frozen sasa hivi, vogue zao zingekuwa zinashiliwa, rekodi za utendaji wao wa Kazi tangu walipoajiliwa zingefukuliwa....
Ama kweli kwa muda mfupi wa Urais wake aliweka rekodi ambayo itawachukua miaka 50 kuifikia au isifikiwe kabisa!
 
Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Duh! Watanzania tunataka hivyo!!!
 
Kipindi cha JK watu walitafsiri vibaya Slogan ya Maishabora Kila Mtanzania.Watu walitafuta Maisha bora kwa njia ovu alimradi tuu wawe na maishabora na wala hawakukemewa kwa vitendo.Kipindi cha awamu ya Tano chini ya Jembe letu JPM hayat,walidhan business as usual.Mfano majambazi walipora pesa wakati wanakimbia walishout Hapa Kazi Tuu .Weeeh ujambaz ukabaki historia kwan walikemewa kimyakimya .Sasa Slogan ya Kazi Iendelee watu waelimishwe kwa vitendo wasije wakadhan wameambiwa sasa ufisad uendelee.
Jk ajira vipi
 
Hao ndio wale wanaohoji kuwa it cannot be a coincidence kuwa Mkapa na Magufuli wakaondoka kwa kuongozana namna hiyo lazima kuna mikono ya watu; hasa wale waliokosa kumsimika mtu wao 2015 na Magufuli kupenyeza!!
Dah my friend umekwenda mbali haswa. Kuna kundi lilizoea kula bata halikupenda kuona SGR ikijengwa kwa kasi.

Halikupenda kuona ndege zikinunuliwa, linapenda kuona tukiwanyenyekea wakenya.

Halikupenda kuona bandari zote zinapanuliwa, halikupenda kuona tunajikita kuelekea maendeleo ya kweli.

Lakini naamini siku zote Mungu huwa na maamuzi ya haki, tatizo huwa hatuambii tarehe na dakika ili tujiandae.
 
Hukuona report ya CAG?
Repoti ilikuwa na matobo ile....!!!

Mfano. Taasisi ama shirika la umma linaandikiwa hati chafu kwa kutumia fedha za umma kwa weledi...hilo lilikuwa tobo. Badala ya taasisi kupongezwa inalimwa hati chafu. Najua utashangaa!

Nakueleza sasa.
====
Kuna mashirika yalilimwa hati chafu kwa sababu yamenunua magali mawili au matatu yenye umbo la kawaida lakini magari hayo ni imara sana na gharama za uendeshaji magari hayo ipo chini sana badala ya kununua gari moja lenye umbo la kuvutia lenye mapambo yanayoharibika baada ya muda mfupi na vifaa vyake vingi siyo imara pia gharama za uendeshaji gari hilo ipo juu mara dufu kulingalinisha na jumla ya gharama za uendeshaji magari mawili matatu. Kumbuka gari moja la umbo zuri lina uwezo wa kubeba abiria ama mzigo sawa na gari moja la kawaida.

Sababu wanazotoa nikuwa eti taratibu za manunuzi hazikufuatwa kwasababu taratibu ilikuwa kununua gari moja zuri ambalo siyo imara! Hii yote ni kwa sababu taratibu nyingi za manunuzi na fedha zimefungamana na taratibu za baadhi ya wafadhili ama wakopeshaji ambao hawafurahii fedha zao wanazofadhili ama kukopesha zinatumika kwa tija. Hawafurahii kwa sababu fedha zao zikitumika kwa tija, sisi kama nchi tutaacha kuwapigia magoti kuomba ufadhili ama mikopo jambo ambalo litawakosesha soko la fedha zao kufadhili ama kukopesha.
===
Ukisoma report ya cag kwa macho mawili utagundua kuwa kulikuwa na wizi wa kutisha, lakini ukiisoma kwa jicho la tatu utagundua ufafanuzi unaofafana na mfano niloelea hapo juu.
 
Maza apige 15 hata kama tutaibiwa lakini tuna amani hakuna mauji wala kesi za uhujumu uchumi za kipumbavu, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji23][emoji23][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi naona atawale milele tu mpaka atakapofariki. Hata hivyo watanzania tunajivunia amani. Hata marekani tunawazidi amani. Ni bora tufirisiwe lakini tubaki na amani
 
Back
Top Bottom