Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

Shusa luck

Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
52
Reaction score
121
Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
 
Possibility ni kubwa tena sana kama hao wanaoingia kwenye hiyo migogoro alafu wanamikataba inayoitwa MILITARY ALLIANCE ambamo ndani yake kuna MUTUAL MILITARY ASSISTANCE. Hii ndio ilikuwa chachu ya kutokea kwa WWI na WWII.
 
Hakuna Vita ya tatu ya dunia hapa. Lakini hawa watu wameghafilika kidogo
 
Wenda kama viki chukua muda mrefu na kuongeza madhara ya kiuchumi kwa mataifa makubwa kutakuwa na nafasi ya hilo kutokea.
 
jibu ni ndio.

fatilia visababish vya vita vya pili vya dunia
1. formation of allies
2. german invasion to poland
3. fights for market. now fight for energy
3.introduction of new technology (war technology)
4. dictatorship nations

now dunia ina alliance mbili
USA ( Nato) Vs China au Russia ( Brics)

upanuzi wa kijeshi kila upande unataka kujipanua kiushawishi

apa mchawi ni Nukes ndizo zinazo leta Usiku. la sivyo kungesha waka kitambo sana.
 
Hakuna kitu kama hicho . Urusi imesharudisha Mkia kwenye matako kwa China ameshakunjia Mkia mkunduni kwa Taiwan.
 
Back
Top Bottom