Je, Yanga akivuka robo atakuwa ndie giant wa mpira wa bongo?

Je, Yanga akivuka robo atakuwa ndie giant wa mpira wa bongo?

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.

Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?

Naomba tuseme mapema.

Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jivi
Screenshot_20231001-205341~2.png

Naomba majibu.....
 
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAF CL na CAF CC itapangwa

Ningependa kujua,iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?

Naomba tuseme mapema

Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo,na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933

Naomba majibu.....

Hapana. Tunaangalia head-head results pia. Hadi Sasa Robertinho kaifunga Utopolo x 2. Nakumbushia tu
 
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.

Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?

Naomba tuseme mapema.

Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933

Naomba majibu.....
Atakua kafanya vizuri kuzidi simba kwa miaka hii ya karibuni,ila simba kwenye klabu bingwa rekodi yake ni nusu final kaishia ila ni miaka 49 iliyopita sikosei ni mwaka 1974 alotolewa na wamisri

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Ili uwe giant lazima ufanye kwa wingi ambacho giant aliyepo hajafanya. Tungefanya usingezungumzia robo, ingebidi useme kuvuka nusu
Basi tufike fainali,hapo vipi!?
 
Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.

Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?

Naomba tuseme mapema.

Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933

Naomba majibu.....
Tunavuka daraja tunapolifikia.
 
Back
Top Bottom