Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema Giant bila kuwa na uwanja huo ni wendawazimu. Je, yanga wapo na kiwanja?Kwahiyo Simba ana kiwanja chake !wenyewe!?
Mara ya mwisho ilipoingia makundi 1998 ilivuka hayo makundi? Kama haikuvuka na haijawahi yacheza kwa miaka 25 unawezaje kusema ni rahisi kwa yanga? Unatumia reference gani?Makundi ni rahisi sana Kwa Yanga
Makundi yanapangaa Ijumaa,tutaonaUnafikiria nusu huku hata group stage hujavuka. Ila wanayanga tuna mihemko Sana.Yaani kufika tu makundi utafikiri simba hajawahi kufika hiyo hatua . Dah!!
Waambie Uto wenzio waelewe hivyoUgiant hauji hivi hivi,unatafutwa
Yanga akitinga nusu fainali anavunja rekodi za Simba za miaka yote CAF champions league!Itakuwa haitoshi. Labda avuke robo fainali mara tano ili kuizidi Simba. hapo tunazungumzia mwaka 2029
Sasa si hadi atinge! Au unafikiri anatinga nusu fainali kwenye keyboard? 😁Yanga akitinga nusu fainali anavunja rekodi za Simba za miaka yote CAF champions league!