Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAF CL na CAF CC itapangwa
Ningependa kujua,iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?
Naomba tuseme mapema
Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo,na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933
Naomba majibu.....
Aahaaaaa,kwahiyo mnaacha kutulinganisha kimataifa halafu tunarudi kuangalia viwangao vya ndani ahhaaaHapana. Tunaangalia head-head results pia. Hadi Sasa Robertinho kaifunga Utopolo x 2. Nakumbushia tu
Overall head-head results pia. Had I sasa yanga kaifunga simba ×39 na simba kashinda mara 28Hapana. Tunaangalia head-head results pia. Hadi Sasa Robertinho kaifunga Utopolo x 2. Nakumbushia
Asante Kwa kunijibia Hilo swali,mkuu Kiweriweri njoo huku,ahaaaaaOverall head-head results pia. Had I sasa yanga kaifunga simba ×39 na simba kashinda mara 28
Itakuwa haitoshi. Labda avuke robo fainali mara tano ili kuizidi Simba. hapo tunazungumzia mwaka 2029Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?
Naomba majibu.....
Ili uwe giant lazima ufanye kwa wingi ambacho giant aliyepo hajafanya. Tungefanya usingezungumzia robo, ingebidi useme kuvuka nusuAahaaaaaa,nyie mmevuka lini?
Atakua kafanya vizuri kuzidi simba kwa miaka hii ya karibuni,ila simba kwenye klabu bingwa rekodi yake ni nusu final kaishia ila ni miaka 49 iliyopita sikosei ni mwaka 1974 alotolewa na wamisriMnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.
Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?
Naomba tuseme mapema.
Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933
Naomba majibu.....
Sawa,kumbe hapo dawa ni kufika fainaliAtakua kafanya vizuri kuzidi simba kwa miaka hii ya karibuni,ila simba kwenye klabu bingwa rekodi yake ni nusu final kaishia ila ni miaka 49 iliyopita sikosei ni mwaka 1974 alotolewa na wamisri
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Basi tufike fainali,hapo vipi!?
Tunavuka daraja tunapolifikia.Mnamo siku ya Ijumaa droo ya makundi ya CAFCL na CAFCC itapangwa.
Ningependa kujua, iwapo Yanga akivuka robo fainali peke yake ndo tayari atakuwa giant wa pira la bongo?
Naomba tuseme mapema.
Yanga anaenda kuvunja rekodi nyingi kuanzia Leo, na anaenda kuchoma vichaka vingi mno ambavyo vilikuwa vilikuwa vinamstiri mtu mmoja jiviView attachment 2768933
Naomba majibu.....