Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao.

Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa.

Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini.

Kila namba ina wachezaji wawili top top class !!! wenye uwezo unaofanana na kukalibiana!!

Imagine ni lini yanga ilikuwa na wachezaji wenye passion ya kucheza kwa kujitoa toka yanga ianzishe kama mwaka huu?

Kwangu mimi hii ndio timu bora ya muda wote toka mwaka 1935.
 
Hii yanga kwakweli imekamilika kila idara mfano mechi ya leo baada ya sub ya Mzinze,Sure boy,Morrison na Mudathiri speed ya yanga iliongezeka mara mbili.
Timu ikawa na kasi ya kushambulia na uwezo mkubwa sana wa kukaba nafikir yanga hii ni bora sana na matokeo inayoyapata ni matokeo stahiki kabisa.
 
I think the manager plays the important part. He has been with the team for so long. He knows everyone in details. He was here for a long plan. Not few matches. Hata simba could have archive this if they put trust on the manager plans and let the manager do it all. No interference. That will improve our teams. You will be amaze what people will do if they are trusted.
 
Tumepiga Bomu mochwali.

Kweli Lile kombe la looser.
Timu inashika nafasi ya tatu kutoka chini PSl.

NA IMETUSUMBUA KIASI KILE. IVI INGEKUWA MAMELODI, OLANDO AU KAIZERCHEEF?????
Wewe ni mfa maji Orlando pirates walikua nafasi ya ngapi katika ligi ya kwao kipindi wanawaondosha robo fainali ya shirikisho?
 
Tumepiga Bomu mochwali.

Kweli Lile kombe la looser.
Timu inashika nafasi ya tatu kutoka chini PSl.

NA IMETUSUMBUA KIASI KILE. IVI INGEKUWA MAMELODI, OLANDO AU KAIZERCHEEF?????
Hio timu imeshampiga Orlando , ikatoka sare na kaizer na juzi ikafungwa Goli 2 za taabu na mamelodi .
ligi ya sa timu haziachani sana Kwenye table gap ya point ni ndogo kati ya anayeongoza na wa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…