technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao.
Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa.
Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini.
Kila namba ina wachezaji wawili top top class !!! wenye uwezo unaofanana na kukalibiana!!
Imagine ni lini yanga ilikuwa na wachezaji wenye passion ya kucheza kwa kujitoa toka yanga ianzishe kama mwaka huu?
Kwangu mimi hii ndio timu bora ya muda wote toka mwaka 1935.