Usitufanye sisi ni wajinga. Yeye kwani shida yake ni nini? au ana mtu aliyetaka tukampigie kura? huyo mtu si yeye aende akampigie?Amewalaumu nani?
mkuu hebu tofautisha kati ya mtu na taasisi yeye katoa maoni kama yeye na wala hajasema msimamo wa kanisa katoliki ni huu.
Kwani taasisi za dini na vyama vya siasa ni hivyo tu? Kwa nini huko kwingine hupo? Nani alikuuliza haya yote? Unajishuku nini?Katoliki ni kwangu, KKKT ni kwangu, TAG ni kwangu na CCM ni kwangu.......una la kuongeza?!
Asante John. NtafuatiliaIlianza serikali kule Misri!
Wewe ndio mwenye mashaka......mimi kumtaja Dr Shoo roho imekuuma kwelikweli!!Kwani taasisi za dini na vyama vya siasa ni hivyo tu? Kwa nini huko kwingine hupo? Nani alikuuliza haya yote? Unajishuku nini?
Hata kule Yudea Serikali ya Kirumi chini ya Prefect Pontius Pilate walishirikiana na mkuu wa dini wa Kiyahudi wakati ule Serhedrin Joseph ben Caiaphas kumfitini Yesu. Caiaphas wa leo ni Pengo. Hawa viongozi wa dini siyo wa kuwachekea mkuu. Tuwambie ukweli wanapokosea.Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Haaahaaahaa,,,hakika umejua kunichekesha,,daah.Mwamba wa Pengo siyo? Ndiyo maana mapadri na maaskofu wanabikiri vitoto vidogo dunia nzima kama wanafanya mashindano
Kufuta Kanisa Katoliki?!Hata kule Yudea Serikali ya Kirumi chini ya Prefect Pontius Pilate walishirikiana na mkuu wa dini wa Kiyahudi wakati ule Serhedrin Joseph ben Caiaphas kumfitini Yesu. Caiaphas wa leo ni Pengo. Hawa viongozi wa dini siyo wa kuwachekea mkuu. Tuwambie ukweli wanapokosea.
Ingekuwa leo Pengo kaunga mkono upinzani sasa hv mngekuwa mnachunguza uraia wake au mnataka kufuta kanisa lenyewe
Cha ajabu nini mkuu. Mbona KKKT walitaka kufuta?Kufuta Kanisa Katoliki?!
Hilo kanisa ndio system yenyewe"System sizani kama wanaweza kubari uo ujinga tena uendelee kinachoendea ni somo tosha."
Pengo anasababisha watu wazidi kulidharau hili kanisa na yeye mwenyewe
Wasukuma niwachapa kazi sanaNaunga mkono hoja
PBaada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...www.jamiiforums.com
Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Hivi ni kweli kwenye kanisa asa makasisi bado wanaendelea na mchezo wa kulawiti watoto? Maana niliwai kusikia kua huko Vatican vijana wengi waliharibiwa na makasisi wa Kanisa Katoliki!Kanisa halikuanza jana mkuu lipo karne kibao wengi walitoka na kuanzisha makanisa yao lakini limeendelea kuwepo! Hata wewe nenda kaanzishe kanisa lako wala halitayumba eti kwa sababu alijaunga mkono saccos ya Chadema!!
Kiukweli hili la uchapa kazi, halina ubishi, sio unaona hapa kazi tuu, watu wanavyochapa kaziWasukuma niwachapa kazi sana
Hata wale maaskofu wa Rwanda walioshiriki mauaji walikuwa na watu kama wewe wanaowaheshimu. Endeleea tu mkuu kuwapa heshimaTunazidi kumuheshimu na kanisa linajengewa heshima zaidi.
Ninadharau maaskofu wa kibavicha mbao kila siku wao kuandika hate against serikali