Mtalii mweusi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 229
- 360
Mkuu Pascal wewe ni nabii!
Ilianza dini. Havijatenganishwa, vipo pamoja na ushahidi ni hili tunalojadili hapa.Sijui kati ya Dini na serikali Kipi kilianza na kwann vilitenganishwa.
Wewe unaijua hiyo " Milele"?!Kwa hiyo pengo anapingana na makada wenzake wanaosema kwamba huyu aliyepo atatawala milele?
Yeah, time will tell and that is what I meant.Amen. Time will tell!.
P.
Amen, Amen, lets wait, subira yavuta heri!.Yeah, time will tell and that is what I meant.
Don't count ur chickens before they hatch!
Lakini unabii wa Makonda kuwa RC umetimia!Umempaisha mno, bado utabiri wake haujatimia.
Tuombe uzima tuone hiyo 2025 kama itakuwa kweli. Na hapo ndipo unaweza kumwita Pascal nabii kama hiyo sifa anayo.
Inasemekana ilianza serikali. Nikipata muda nitafuatilia hili.Ilianza dini. Havijatenganishwa, vipo pamoja na ushahidi ni hili tunalojadili hapa.
Waulize hao wapuuzi wa praise team wanaosema hivyo.Wewe unaijua hiyo " Milele"?!
Yeye ndio alisusia bunge la katiba?Matatizo yote haya kayasababisha Mzee wa Msoga, laiti tungepata Katiba mpya iliyotokana na maoni ya Watanzania wenyewe huu upumbavu unaoendelea usingekuwepo.
Haya matatizo hata kwenye madrasa yapo!Hizo ni dhambi za kibinadamu na ndiyo maana Mwokozi Yesu Kristo alikuja kuwakomboa wenye dhambi kama wewe na mimi kwa hiyo usishangae sana na matendo ya hao makasisi waliokengeuka! Kanisa litaendelea kuwa kanisa tu regardless hizo changamoto za Makasisi.
Usijifanye hujui kilichojiri.Yeye ndio alisusia bunge la katiba?
Lkn Congo lilisimama na wananchi kumuondoa dijteta kabila asingeachia madaraka bila juhudi za kanisaHalijatenda haki kivipi. Mi naongelea uovu na historia ya hili kanisa na viongozi wake katika kushirikiana na wauaji. Mauaji ya kimbari ya hapo jirani Rwanda ni kielelezo cha matendo ya hili kanisa
Kwani Pengo ni msabato?!makonda ni mkatoliki?...... kama siyo hawezi kuwa raisi wa nchi hii!
Kikwete alitoa fursa wanasiasa wakaiteka na kuivuruga kwa makusudi......sasa unamlaumu nini?Usijifanye hujui kilichojiri.