Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29.
Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea.
Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika?
Afrika tuna bahati mbaya ya kuwa na viongozi wa hovyo. Lakini waliomwaga damu za watoto ni Jean Bedel Bokassa, na Makaburu wa Afrika Kusini.
Serikali na CCM wachukue hatua za haraka kuhusu kilichotokea Mwanza ili wajitofautishe na wakina Bokassa, na Makaburu.
Cc MALCOM LUMUMBA, Nguruvi3